Rose Mayemba: Nimefukuzwa Makao Makuu kama mbwa na walinzi wa Mbowe. Aeleza Rushwa ya Freeman Mbowe ilivyokwamisha Uchaguzi Mkoa wa Njombe usifanyike

The Palm Beach

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2015
Posts
1,967
Reaction score
4,267

View: https://youtu.be/pfMrZF7ISCc?si=WHSR_MisNg9yIa0e
Sikuwahi kufikiri wala kumuona huyu dada kuwa kumbe ni jembe kiasi hiki...

Cha ajabu eti Freeman Mbowe anamfanyia figisu figisu asiwe mwenyekiti wa chama mkoa wa Njombe - CHADEMA..

Honestly, simulizi yake hii kumhusu Freeman Mbowe inachukiza na kusikitisha sana..

Mtazame na msikilize mwenyewe kwenye video clip hii..
 
Yani kila kitu Mbowe, too much. Kwa hiyo mnagombea kwa ajili ya kumtoa mbowe au kukitumikia chama chenu?
Akishatika mbowe mambo mengine yatakaa sawa tu.
Tukipanga kwa sasa yatapelekwa ccm na mbowe rafiki yao
 
Huyu na kalipwaaaaa

Amerekodi alichossma?

Kwanini ana ng'ang'ania?

Kama unaona haufai basi kubali
 
View: https://youtu.be/pfMrZF7ISCc?si=WHSR_MisNg9yIa0e
Sikuwahi kufikiri wala kumuona huyu dada kuwa kumbe ni jembe kiasi hiki...

Cha ajabu eti Freeman Mbowe anamfanyia figisu figisu asiwe mwenyekiti wa chama mkoa wa Njombe - CHADEMA..

Honestly, simulizi yake hii kumhusu Freeman Mbowe inachukiza na kusikitisha sana..

Mtazame na msikilize mwenyewe kwenye video clip hii..

22 baada ya matokeo nyote mtapiga magoti kuomba msamaha
 
Yani kila kitu Mbowe, too much. Kwa hiyo mnagombea kwa ajili ya kumtoa mbowe au kukitumikia chama chenu?
Sawa sawia kafanya kazi ila tunahitaji watakao weza kuendeleza kazi aliyoianzisha,na sii wakudidimiza kazi hiyo kwa kolabo na jirani mwovu,mwoga na mkorofi,mwenye tamaa na wivu.
 
Back
Top Bottom