Rose Mayemba: Nimefukuzwa Makao Makuu kama mbwa na walinzi wa Mbowe. Aeleza Rushwa ya Freeman Mbowe ilivyokwamisha Uchaguzi Mkoa wa Njombe usifanyike

Rose Mayemba: Nimefukuzwa Makao Makuu kama mbwa na walinzi wa Mbowe. Aeleza Rushwa ya Freeman Mbowe ilivyokwamisha Uchaguzi Mkoa wa Njombe usifanyike

Do you mean everything spoken here is rubbish to you? Really?

Don't you see that, the rubbish itself is you by not being considerate...?

Sina hakika hata kama akili na ufahamu wako unafikia hata robo ya akili na ufahamu wa dada huyu...!!

I am very sorry if I' ve offended you kwa kauli hii..
Huyo jamaa amekuwa kama msukule wa Mbowe yaani anamuona Mbowe ni malaika atakuwa amelishwa limbwata na Mbowe kama narration ya huyu dada anaiona ni rubbish lazima ana shida mahali. Mahaba ya kijinga kabisa haya.
 
View: https://youtu.be/pfMrZF7ISCc?si=WHSR_MisNg9yIa0e
Sikuwahi kufikiri wala kumuona huyu dada kuwa kumbe ni jembe kiasi hiki...

Cha ajabu eti Freeman Mbowe anamfanyia figisu figisu asiwe mwenyekiti wa chama mkoa wa Njombe - CHADEMA..

Honestly, simulizi yake hii kumhusu Freeman Mbowe inachukiza na kusikitisha sana..

Mtazame na msikilize mwenyewe kwenye video clip hii..

Chadema ni sawa na mgonjwa anaye ingia kwenye chuma cha operesheni. Baada ya uchaguzi ndio tutajua tuna mpeleka mgonjwa Mochwari au wodini.
Kesho sio mbali mkuu
 
Hakuna uchaguzi free and fair duniani, bali kuna uchaguzi. Hata kuiba kura ni akili kwa hiyo ukiibiwa kura ni kwamba umezidiwa akili.

Kesho Mbowe anawapiga asubuhi na mapema kwa 70%
Changamoto ni kwamba!

Wapo watu wa karibu ya Mbowe ambao wanatoa michoro yote kwa Lissu.

Na wapo watu ambao kwenye system pamoja na CCM hawapendi jinsi nchi inavyoemdeshwa na CCM inavyoendeshwa.

Hawa wanataka upinzani wenye nguvu ili kuiweka CCM sawa na kuondoa machawa.

Hawa nao wanatoa siri ya mipango ya Mbowe ikiwa kama anashirikiana na system.

Hivyo kwa kila hatua anayoipiga Mbowe dhidi ya Uchaguzi hizo habari Lissu anazipata.

Kesho watu watapigana ngumi mapema sana!
 
Kwa hiyo unadhani Lissu ndiyo anaweza kuwa Rais wa Tanzania? Familia yake yenyewe hawezi kuongoza sembuse CHADEMA??
 
Kwa hiyo unadhani Lissu ndiyo anaweza kuwa Rais wa Tanzania? Familia yake yenyewe hawezi kuongoza sembuse CHADEMA??
Mkuu, wapi nimesema Lissu anafaa kuwa rais wa Tanzania? Mbona unanipeleka ambako sipo?
 
Huyimu alidhani Chadema ni sehemu ya kutafutia wanaume
 
Back
Top Bottom