The Palm Beach
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 1,967
- 4,267
Mbowe NI kiongozi muoga Sana na anajihami kwa kuonea wenzake maana ni mtu dhaifuInaonekana Mbowe ni mtu mbaya sana tumechelewa kumjua
Akishatika mbowe mambo mengine yatakaa sawa tu.Yani kila kitu Mbowe, too much. Kwa hiyo mnagombea kwa ajili ya kumtoa mbowe au kukitumikia chama chenu?
22 baada ya matokeo nyote mtapiga magoti kuomba msamaha
View: https://youtu.be/pfMrZF7ISCc?si=WHSR_MisNg9yIa0eSikuwahi kufikiri wala kumuona huyu dada kuwa kumbe ni jembe kiasi hiki...
Cha ajabu eti Freeman Mbowe anamfanyia figisu figisu asiwe mwenyekiti wa chama mkoa wa Njombe - CHADEMA..
Honestly, simulizi yake hii kumhusu Freeman Mbowe inachukiza na kusikitisha sana..
Mtazame na msikilize mwenyewe kwenye video clip hii..
Dawa ya wasaliti kuwabana hivi hivi. Mwisho watakimbiaAyatollah kaguta nkurunzinza mbowe akiwa mbele ya camera anajifanya mtu mwema
Ila nyuma ya kamera ni nyamera😀😀😀
Mbona wana CCM akina Msigwa, Slaa na Waitara ndio marafiki wa Lissu?Akishatika mbowe mambo mengine yatakaa sawa tu.
Tukipanga kwa sasa yatapelekwa ccm na mbowe rafiki yao
Sawa sawia kafanya kazi ila tunahitaji watakao weza kuendeleza kazi aliyoianzisha,na sii wakudidimiza kazi hiyo kwa kolabo na jirani mwovu,mwoga na mkorofi,mwenye tamaa na wivu.Yani kila kitu Mbowe, too much. Kwa hiyo mnagombea kwa ajili ya kumtoa mbowe au kukitumikia chama chenu?
Mbowe anaenda kuwa John cheyo