Huyu mwanamke ni jasiri kuliko hata Samia
View: https://youtu.be/pfMrZF7ISCc?si=WHSR_MisNg9yIa0eSikuwahi kufikiri wala kumuona huyu dada kuwa kumbe ni jembe kiasi hiki...
Cha ajabu eti Freeman Mbowe anamfanyia figisu figisu asiwe mwenyekiti wa chama mkoa wa Njombe - CHADEMA..
Honestly, simulizi yake hii kumhusu Freeman Mbowe inachukiza na kusikitisha sana..
Mtazame na msikilize mwenyewe kwenye video clip hii..
Safi sana nampenda sana huyu anaishi siasa ya kweli na wito wa kweliMwenyekiti wa CHADEMA Mkoa wa Njombe, Rose Mayemba, amedai kutengwa na kunyimwa haki ya kushiriki kikamilifu katika mchakato wa uchaguzi wa chama, pamoja na kufanyiwa fujo na walinzi wa chama.
Akizungumza Januari 19, 2025, Dar es Salaam, Mayemba alisema changamoto hizo zilijitokeza wakati wa usaili wa nafasi za Kamati Kuu uliofanyika Makao Makuu ya CHADEMA, ambapo alihisi haki yake ya kupiga kura ilikiukwa.
"Nimekwenda Makao Makuu ya CHADEMA kufanya usaili wa nafasi za Kamati Kuu. Mimi nina wajibu wa kumtafutia mgombea wangu, Tundu Lissu, kura. Ninamuunga mkono hadharani kutokana na sera alizozieleza na hali ya sasa nchini inayomhitaji zaidi kuliko mtu mwingine yeyote,"
View attachment 3207184
Source: Jambo TV
Yeye ana makosa gani?John Mnyika ni mmoja wa Katibu Mkuu wa hovyo kuwahi kutokea CHADEMA! Chama gani hiki Kila mtu analalaamika hadharani hivi!
Yote hii ni udhaifu wa utawala wa Chama!
Wewe ni chawa wa Lissu?Mbowe na chawa wake ndiyo wahuni
Mbowe ni dikteta haswa