Mahakama kwani huwa inatoa maelekezo kuwa awe mahabusu wapi?
Kiusalama kwakua ni weekend ndefu lazima wamtoe kwakua usngalizi unakua mdogo,atakua salama tu ilakiusalama lazima awekwe sehemu ya siri sikukuu zikiisha utamsikia tuAmeandika Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Rose Mayemba:
Tumetoka Gereza la Keko muda huu kwa ajili ya kutaka kumuona Mhe Lissu, Askari Magereza wametuambia hayupo, tumeuliza yuko wapi wamesema hata wao hawajui!.
Sasa nani kamuondoa bila ruhusa ya Mahakama? Aliyemuondoa amempeleka wapi? Kwanini aondolewe kwa siri?
INATIA HASIRA SANA!.
View attachment 3309217
Pia soma DOKEZO - Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?
Serikali ina macho na masikio makali mnachopanga gizani serikali inakuwa imeshajua mapema sanaTufunge na kuomba saana.
Kutojua bwashee...Duh
Magereza au Mahabusu?
Mahabusu ni kama mali. Mahakama huwakabidhi Kwa magereza kukiwa na waraka maalum kujua anakwenda gerezani lipi.Mahakama kwani huwa inatoa maelekezo kuwa awe mahabusu wapi?
Mwamba ilikuwa hivi hivi akaibukia jirani na FerryNi kama wana kijiti halafu wanachokoa mzinga wa nyuki!!
Duh
Magereza au Mahabusu?
Kavaa suti!Mwamba ilikuwa hivi hivi akaibukia jirani na Ferry
Elizabethi Msemaji wa Magereza jana kasema yuko Hapo.Ameandika Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Rose Mayemba:
Tumetoka Gereza la Keko muda huu kwa ajili ya kutaka kumuona Mhe Lissu, Askari Magereza wametuambia hayupo, tumeuliza yuko wapi wamesema hata wao hawajui!.
Sasa nani kamuondoa bila ruhusa ya Mahakama? Aliyemuondoa amempeleka wapi? Kwanini aondolewe kwa siri?
INATIA HASIRA SANA!.
View attachment 3309217
Pia soma DOKEZO - Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?
Kwan hata ikitokea hivo unahisi wewe utafanyaje?you have no way, just chill n watch the stanceHii nchi Ina mambo ya kipumbavu sana sasa mfano apate ajali au hapo alipo nyumba ilipuke afe watawaambia nini watanzania?
Who cares. Akafie mbeleDuh
Magereza au Mahabusu?
Habari ndio hiyo waambie wale wanga wenu wa CHADEMA kuwa pale Gereza la Keko sio sehemu ya kufanya wanga wao iwe ndani au nje ya gereza walioupanga hasa jana Ijumaa kuuUna ufala mwingi sana kichwani.