NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,920
Wanaweza hata kumchinja na wakakakwambia amejiua na kisu cha buchani kwa hasira.Hii nchi Ina mambo ya kipumbavu sana sasa mfano apate ajali au hapo alipo nyumba ilipuke afe watawaambia nini watanzania?