PreGE2025 Rose Mayemba: Tumetoka Keko, Lissu hayupo na Magereza hawajui alipo

PreGE2025 Rose Mayemba: Tumetoka Keko, Lissu hayupo na Magereza hawajui alipo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Ameandika Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Rose Mayemba:

Tumetoka Gereza la Keko muda huu kwa ajili ya kutaka kumuona Mhe Lissu, Askari Magereza wametuambia hayupo, tumeuliza yuko wapi wamesema hata wao hawajui!.

Sasa nani kamuondoa bila ruhusa ya Mahakama? Aliyemuondoa amempeleka wapi? Kwanini aondolewe kwa siri?

INATIA HASIRA SANA!.

View attachment 3309217

Pia soma DOKEZO - Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?
wamuulize statesman Freeman Aikael Mbowe na itapndeza zaid kuliko kubabaika 🐒
 
Leo nikiwa na nimeambatana na Mhe. Rose Mayembs tumeenda Gereza la Keko kumuona Mhe. Tundu Lissu lengo ikiwa ni kutaka watuambie wampeleka wapi Mhe. Lissu lakin Uongozi wa Gereza la Keko wamesema kwamba hata wao hawajui alipotolewa pale kapelekwa wapi

.Kuna wenzetu wao wameenda Gereza la Ukonga na Segerea nako wamemwambia hayupo.

Tanzania tunaserikali ya kihuni sana imagine Sheria ziko wazi kwamba Mahakama ikishasema mtuhumiwa A apelekwe Gereza fulani ni kwamba hawezi kuondolewa kwenye hilo Gereza na kupelekwa Gereza jingine bila ruhusa ya Mahakama lakini Mhe. Lissu kaondolewa Gereza la Keko bila Ruhusa ya Mahakama.

So kuna mtu yupo juu ya Mahakama anauweza wa kumtoa mtu magereza na kumpeleka kusikojulikana na Mahakama haiwezi kufanya chochote

Chanzo; Hilder Newton kupitia mtandao wa X
Polisi wako juu ya mahakama kwa nchi yetu.
 
Kuishabikia CCM au kuwa mwana CCM kwa Sasa ni lazima uwe na sifa kati ya hizi:

1. Mshamba

2. Katili

3. Fisadi

4. Chawa

5. Mshirikina

6. Muombea wengine mabaya

7. Punguani

8. Mzushi

9. Mfitini

10. Muongo

11. Mbinafsi

12. Siyo Mzalendo
 
Ameandika Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Rose Mayemba:

Tumetoka Gereza la Keko muda huu kwa ajili ya kutaka kumuona Mhe Lissu, Askari Magereza wametuambia hayupo, tumeuliza yuko wapi wamesema hata wao hawajui!.

Sasa nani kamuondoa bila ruhusa ya Mahakama? Aliyemuondoa amempeleka wapi? Kwanini aondolewe kwa siri?

INATIA HASIRA SANA!.

View attachment 3309217

Pia soma DOKEZO - Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?
Kwahiyo, unatuambia ili tukusaidieje. Wakati mnabwabwaja ni kweli na mtakinukisha mlituhusisha?! Bebeni msalaba wenu wenyewe
 
Ameandika Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Rose Mayemba:

Tumetoka Gereza la Keko muda huu kwa ajili ya kutaka kumuona Mhe Lissu, Askari Magereza wametuambia hayupo, tumeuliza yuko wapi wamesema hata wao hawajui!.

Sasa nani kamuondoa bila ruhusa ya Mahakama? Aliyemuondoa amempeleka wapi? Kwanini aondolewe kwa siri?

INATIA HASIRA SANA!.

View attachment 3309217

Pia soma DOKEZO - Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?
Huenda lissu kafichwa kwenye msikiti mmoja ...kuna kitu nimekiona ila sina hakika nacho .
 
Ameandika Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Rose Mayemba:

Tumetoka Gereza la Keko muda huu kwa ajili ya kutaka kumuona Mhe Lissu, Askari Magereza wametuambia hayupo, tumeuliza yuko wapi wamesema hata wao hawajui!.

Sasa nani kamuondoa bila ruhusa ya Mahakama? Aliyemuondoa amempeleka wapi? Kwanini aondolewe kwa siri?

INATIA HASIRA SANA!.

View attachment 3309217

Pia soma DOKEZO - Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?
Wampeleke wapi, huyo chiba Yuko hapo hapo sema askari walikuwa bize wakaona hivi 'vimalaya' visitupotezee muda saa hizi.
Halafu, si mmesema wananchi wote wa Tanzania wanaenda kisutu tarehe 24 Sasa si mtamuona. Haraka ya nini'?!!
 
Mkuu
Serikali ina macho na masikio makali mnachopanga gizani serikali inakuwa imeshajua mapema sana

Mkawaambie wenyewe kuwa tulitaka kwenda kuwanga gereza la Keko tukidhani wamelala kumbe wako macho

Maruhuni nyie
Pale Milembe Dodoma kuna wataalamu wanaoweza kutatua tatizo lako.
 
Mkuu
Pale Milembe Dodoma kuna wataalamu wanaoweza kutatua tatizo lako.
Mirembe iliwekwa Dodoma kwa makusudi nenda kaulize takwimu pale vichaa wengi wanatokea wapi kwa takwimu za kitaifa ? wanatokea singida eneo la ikungi

Mimi sitokei Ikungi
 
Mahakama kwani huwa inatoa maelekezo kuwa awe mahabusu wapi?
Mtuhumiwa hajawa mfungwa. Hivyo mahali anapotakiwa kuwa mahakama ni lazima ifahamu, watu wake wa karibu ni haki yao kufahamu pia.

KAma kuna sababu za msingi, ilitakiwa mahakama na ndugu wataarifiwe. LAKINI kwa sababu tunaishi chini ya utawala wa kishetani, hakuna linalofuatwa au kuzingatiwa. Tumeruhusu maharamia yaongoze nchi. Haya ndiyo matokeo yake.
 
Kuanzia mkamataji na hata wa gerezani,ni haki yako wewe ndugu au rafiki wa mtuhumiwa kupewa taarifa wapi anapelekwa au wapi alipo.
Kama ndugu hataki kuonwa? binafsi nimeshakutana na hiyo scenario

Hakutaka tujue yuko ndani uzuri tulikuwa na hakimu ndugu yetu anamjua akamwambia asituambie hata sisi kuwa ana kesi tukamuacha alishinda kesi baada ya kusota ndani miezi sita alipotoka akawa anasema alikuwa nje ya nchi course ya miezi sita ya ujasiriamali
 
Yuko salama. Siyo rahisi kuhujumiwa akiwa kwenye inayojulikana ni mikono salama.
 
Back
Top Bottom