Allen Kilewella
JF-Expert Member
- Sep 30, 2011
- 25,982
- 51,157
Hana cha kufanya. Hata ikikutokea wewe ndugu zako na marafiki zao nao hawatakuwa na cha kufanya.Kwan hata ikitokea hivo unahisi wewe utafanyaje?you have no way, just chill n watch the stance
Acheni kulia liaAmeandika Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Rose Mayemba:
Tumetoka Gereza la Keko muda huu kwa ajili ya kutaka kumuona Mhe Lissu, Askari Magereza wametuambia hayupo, tumeuliza yuko wapi wamesema hata wao hawajui!.
Sasa nani kamuondoa bila ruhusa ya Mahakama? Aliyemuondoa amempeleka wapi? Kwanini aondolewe kwa siri?
INATIA HASIRA SANA!.
View attachment 3309217
Pia soma DOKEZO - Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?
Habari ya Rose ni ya mchana huu. Ninahisi kuna jambo baya limemkuta Lissu hivyo wanajipanga wataiambia nini dunia Lissu kufia mikononi mwao. Hii ndoana aliyoneza Samia itamuweka pabaya sana.Elizabethi Msemaji wa Magereza jana kasema yuko Hapo.
For sureHana cha kufanya. Hata ikikutokea wewe ndugu zako na marafiki zao nao hawatakuwa na cha kufanya.
Ila la kufanya huwa halitokani na la kufanya bali hutokea kwenye kutokuwepo la kufanya.For sure
Yamekua hayoAmeandika Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Rose Mayemba:
Tumetoka Gereza la Keko muda huu kwa ajili ya kutaka kumuona Mhe Lissu, Askari Magereza wametuambia hayupo, tumeuliza yuko wapi wamesema hata wao hawajui!.
Sasa nani kamuondoa bila ruhusa ya Mahakama? Aliyemuondoa amempeleka wapi? Kwanini aondolewe kwa siri?
INATIA HASIRA SANA!.
View attachment 3309217
Pia soma DOKEZO - Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?
Huyu Rose Mayemba wana uhusiano gani hasa na Lisu? Hadi ikafika Kaka yake Lisu ambaye ni CCM anakiri hadharani kuwa Rose Mayemba huyo ni sehemu ya Familia yao kivipi wakati Lisu ana mkewe yuko ubelgijiAmeandika Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Rose Mayemba:
Tumetoka Gereza la Keko muda huu kwa ajili ya kutaka kumuona Mhe Lissu, Askari Magereza wametuambia hayupo, tumeuliza yuko wapi wamesema hata wao hawajui!.
Sasa nani kamuondoa bila ruhusa ya Mahakama? Aliyemuondoa amempeleka wapi? Kwanini aondolewe kwa siri?
INATIA HASIRA SANA!.
View attachment 3309217
Pia soma DOKEZO - Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?
Nyapara anafaidi matunda yakeElizabethi Msemaji wa Magereza jana kasema yuko Hapo.
Hilo danga lina genye, hana kazi ya kufanya? Au anatafuta umaarufu kupitia huyo kibaraka. Bwege kwlAmeandika Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Rose Mayemba:
Tumetoka Gereza la Keko muda huu kwa ajili ya kutaka kumuona Mhe Lissu, Askari Magereza wametuambia hayupo, tumeuliza yuko wapi wamesema hata wao hawajui!.
Sasa nani kamuondoa bila ruhusa ya Mahakama? Aliyemuondoa amempeleka wapi? Kwanini aondolewe kwa siri?
INATIA HASIRA SANA!.
View attachment 3309217
Pia soma DOKEZO - Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?
Wanakufa wangapi huko gerezani? Akifa ni km mfungwa mwingine yeyote. Mtanzania gani atataka hiyo taarifa? Tulizeni vikalio mfanye kaziHii nchi Ina mambo ya kipumbavu sana sasa mfano apate ajali au hapo alipo nyumba ilipuke afe watawaambia nini watanzania?
Hili ni Andiko tu, lakini ni kiashiria jinsi ulivyo.Safi sana
Wamtupe Tewa tu huyu matumbo anaefadhiliwa na magaidi
Kifo chaweza mkuta mtu popote huwa hakina siku maalumu au mahali maalumuWanakufa wangapi huko gerezani? Akifa ni km mfungwa mwingine yeyote. Mtanzania gani atataka hiyo taarifa? Tulizeni vikalio mfanye kazi
Rose Mayemba ndio godoro la pembeni la Mzee wa Ubeleji kwa miaka mingi tangu akiwa bintiAmeandika Mjumbe wa Kamati Kuu CHADEMA, Rose Mayemba:
Tumetoka Gereza la Keko muda huu kwa ajili ya kutaka kumuona Mhe Lissu, Askari Magereza wametuambia hayupo, tumeuliza yuko wapi wamesema hata wao hawajui!.
Sasa nani kamuondoa bila ruhusa ya Mahakama? Aliyemuondoa amempeleka wapi? Kwanini aondolewe kwa siri?
INATIA HASIRA SANA!.
View attachment 3309217
Pia soma DOKEZO - Lissu aondolewa Keko. Anapelekwa wapi?
Ndio maana kaka yake Lisu aliongea hayaRose Mayemba ndio godoro la pembeni la Mzee wa Ubeleji kwa miaka mingi tangu akiwa binti
Abdul ni yupi, mlaumu mamako kuwa mpumbavuNchi inayoongozwa na wahuni kama Abdul, Waziri, Mchengelwa!
Ok, basi ana nyege huyoRose Mayemba ndio godoro la pembeni la Mzee wa Ubeleji kwa miaka mingi tangu akiwa binti