PreGE2025 Rose Mayemba: Tumetoka Keko, Lissu hayupo na Magereza hawajui alipo

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
wamuulize statesman Freeman Aikael Mbowe na itapndeza zaid kuliko kubabaika 🐒
 
Polisi wako juu ya mahakama kwa nchi yetu.
 
Kuishabikia CCM au kuwa mwana CCM kwa Sasa ni lazima uwe na sifa kati ya hizi:

1. Mshamba

2. Katili

3. Fisadi

4. Chawa

5. Mshirikina

6. Muombea wengine mabaya

7. Punguani

8. Mzushi

9. Mfitini

10. Muongo

11. Mbinafsi

12. Siyo Mzalendo
 
Kwahiyo, unatuambia ili tukusaidieje. Wakati mnabwabwaja ni kweli na mtakinukisha mlituhusisha?! Bebeni msalaba wenu wenyewe
 
Huenda lissu kafichwa kwenye msikiti mmoja ...kuna kitu nimekiona ila sina hakika nacho .
 
Wampeleke wapi, huyo chiba Yuko hapo hapo sema askari walikuwa bize wakaona hivi 'vimalaya' visitupotezee muda saa hizi.
Halafu, si mmesema wananchi wote wa Tanzania wanaenda kisutu tarehe 24 Sasa si mtamuona. Haraka ya nini'?!!
 
Mkuu
Serikali ina macho na masikio makali mnachopanga gizani serikali inakuwa imeshajua mapema sana

Mkawaambie wenyewe kuwa tulitaka kwenda kuwanga gereza la Keko tukidhani wamelala kumbe wako macho

Maruhuni nyie
Pale Milembe Dodoma kuna wataalamu wanaoweza kutatua tatizo lako.
 
Mkuu
Pale Milembe Dodoma kuna wataalamu wanaoweza kutatua tatizo lako.
Mirembe iliwekwa Dodoma kwa makusudi nenda kaulize takwimu pale vichaa wengi wanatokea wapi kwa takwimu za kitaifa ? wanatokea singida eneo la ikungi

Mimi sitokei Ikungi
 
Mahakama kwani huwa inatoa maelekezo kuwa awe mahabusu wapi?
Mtuhumiwa hajawa mfungwa. Hivyo mahali anapotakiwa kuwa mahakama ni lazima ifahamu, watu wake wa karibu ni haki yao kufahamu pia.

KAma kuna sababu za msingi, ilitakiwa mahakama na ndugu wataarifiwe. LAKINI kwa sababu tunaishi chini ya utawala wa kishetani, hakuna linalofuatwa au kuzingatiwa. Tumeruhusu maharamia yaongoze nchi. Haya ndiyo matokeo yake.
 
Kuanzia mkamataji na hata wa gerezani,ni haki yako wewe ndugu au rafiki wa mtuhumiwa kupewa taarifa wapi anapelekwa au wapi alipo.
Kama ndugu hataki kuonwa? binafsi nimeshakutana na hiyo scenario

Hakutaka tujue yuko ndani uzuri tulikuwa na hakimu ndugu yetu anamjua akamwambia asituambie hata sisi kuwa ana kesi tukamuacha alishinda kesi baada ya kusota ndani miezi sita alipotoka akawa anasema alikuwa nje ya nchi course ya miezi sita ya ujasiriamali
 
Yuko salama. Siyo rahisi kuhujumiwa akiwa kwenye inayojulikana ni mikono salama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…