NAGAMAHONGA
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 12,322
- 10,920
Wanaweza hata kumchinja na wakakakwambia amejiua na kisu cha buchani kwa hasira.Hii nchi Ina mambo ya kipumbavu sana sasa mfano apate ajali au hapo alipo nyumba ilipuke afe watawaambia nini watanzania?
Tangulia wewe huko mbeleWho cares. Akafie mbele
Hao shetani wa kijani hawashindwi.Wanaweza hata kumchinja na wakakakwambia amejiua na kisu cha buchani kwa hasira.
HakikaHao shetani wa kijani hawashindwi.
Watawaambia Chadema wamevamia nyumba aliyokuwamo Lissu na kuichoma Moto na Lissu kachomwa pia.Hii nchi Ina mambo ya kipumbavu sana sasa mfano apate ajali au hapo alipo nyumba ilipuke afe watawaambia nini watanzania?
Kazi kweli kweliKuna ujinga mwingi sana. Nakumbuka Dr. Slaa hakuletwa mahakamani lakini wa kusema kuwa hakuletwa kwa kukosa usafiri walifika mahakamani!
Atanyongwa hadi Kufa November 2025Tangulia wewe huko mbele