Rose Mhando achumbiwa, atambulishwa ukweni Kahama

Rose Mhando achumbiwa, atambulishwa ukweni Kahama

Ana watoto watatu kwa wanaume tofauti usikute hakuwazaa ndani ya ndoa.Afu mzinifu kama huyu ndio anaimbia watu watende yanayomfurahisha Bwana.. maaa.....ma eeee
 
Sasa mbibi kama huyu ndoa ya nini? Bado anahitaji.....? Mwaka 2006/7nikiwa Dodoma, huyu alikuwa mmama kabisa, alikuwa na Mali za kutosha, na watoto kibao! Sasa hv anatafuta nini tena.
 
Back
Top Bottom