Nimekufuatilia mpaka hapa wewe ni muongo tena unatenda dhambi sana. Mtoto wa Mama Lwakatare diwani anaitwa Mutta na ndio last born! sasa huyo mdogo wake ni yupi? Kama hamuwajui watu msipende kuwazushia uwongo, ndio maana mnabaki kuwa maskini kila siku sababu ya kuwazushia watu uwongo. Nakushauri ubadilike mkuu. Maana hao watoto wa Mama Lwakatare unaowazushia kwanza huwajui alafu wenzako kimaisha washatusua yaani hawana njaa. Its better ukawa busy na mambo yako kuliko kuja kwenye mitandao kuchafua watu usiowajua.Syo hyooo diwani...mdg wake sasa
OVA
Saafi kumbe tupo ambao tunaelewa hizi figisu anazofanya huyu msa.ma kwa huyu dada..Watu wengine wanaongea tu hawajui chochote..Msami unataka rose ajinyonge ndio roho yako itulie
Huyu dada kakukosea nini? Mbna umemfyonza vya kutosha?
Hiyo roho yako haina hata huruma?
Kwanini usmhurumie huyu mtoto wa kike?
Mbna hauli ligi na waimbaji wa kiume? Kwanini utumie udhaifu wa kike kumuangamiza rose?
Rose ana alibam zaid ya tano, ila anamiliki nyumba moja tu dodoma pesa zake we ndio unamamlaka nazo
Hata akipata mualiko unadai asilimia 70 ya pato
Acha roho hiyo, mhurumie huyo ni mtoto wa kike
Kazi kweli kweli huyo msama aache hyo roho yake kwa Rose ka kweli anamfanyia figisuMsami unataka rose ajinyonge ndio roho yako itulie
Huyu dada kakukosea nini? Mbna umemfyonza vya kutosha?
Hiyo roho yako haina hata huruma?
Kwanini usmhurumie huyu mtoto wa kike?
Mbna hauli ligi na waimbaji wa kiume? Kwanini utumie udhaifu wa kike kumuangamiza rose?
Rose ana alibam zaid ya tano, ila anamiliki nyumba moja tu dodoma pesa zake we ndio unamamlaka nazo
Hata akipata mualiko unadai asilimia 70 ya pato
Acha roho hiyo, mhurumie huyo ni mtoto wa kike
Msami unataka rose ajinyonge ndio roho yako itulie
Huyu dada kakukosea nini? Mbna umemfyonza vya kutosha?
Hiyo roho yako haina hata huruma?
Kwanini usmhurumie huyu mtoto wa kike?
Mbna hauli ligi na waimbaji wa kiume? Kwanini utumie udhaifu wa kike kumuangamiza rose?
Rose ana alibam zaid ya tano, ila anamiliki nyumba moja tu dodoma pesa zake we ndio unamamlaka nazo
Hata akipata mualiko unadai asilimia 70 ya pato
Acha roho hiyo, mhurumie huyo ni mtoto wa kike
Nimekufuatilia mpaka hapa wewe ni muongo tena unatenda dhambi sana. Mtoto wa Mama Lwakatare diwani anaitwa Mutta na ndio last born! sasa huyo mdogo wake ni yupi? Kama hamuwajui watu msipende kuwazushia uwongo, ndio maana mnabaki kuwa maskini kila siku sababu ya kuwazushia watu uwongo. Nakushauri ubadilike mkuu. Maana hao watoto wa Mama Lwakatare unaowazushia kwanza huwajui alafu wenzako kimaisha washatusua yaani hawana njaa. Its better ukawa busy na mambo yako kuliko kuja kwenye mitandao kuchafua watu usiowajua.
Kweli nimeamini wabongo nuksi!
Kuna binadamu kama wewe na mimi, Kama ulidhani mtu akienda kanisani anageuka Mungu ulikosea sana!Pole yake
hivi makanisa ya walokole hili la unga halizungumzwi?
manake unasikia mtu mlokole
mara tena unasikia kawa teja
mara sijui anatumia viroba
huko makanisani kuna nini?
Wewe ndio huwajui watu alafu nakusikitikia sana..sababu hao unaowazushia wana uwezo wa kukufunga.Unataka nimtaje jina syo Lazima nimtaje humu...we utakuwa mgeni au huwajui watu
OVA
Wewe utakuwa MUHAYAWewe ndio huwajui watu alafu nakusikitikia sana..sababu hao unaowazushia wana uwezo wa kukufunga.
Wewe ni bora ukae kimya tu, sababu hao kina Lwakatare huwajui!
Mkuu huyu anajua anachokificha...Wewe utakuwa MUHAYA
mh! yawezekanaAnatafuta hoja ili atungie kawimbo!
Kwa kweli nimejitahidi kadiri niwezavyo kuchekecha akili yangu nikuelewe lakini nimeshindwa ila nimecheka sanaYaah naskia Mwanamboka anapenda sana wakati huo Lowassa ametangaza nia si ndo akaenda chadema kwa Mwamunyange kumuona kamanda Siro thubutu Makonda akapiga marufuku kuja dar,trump akashinda uchaguzi ndo Faru john akafa.
muumini wa pale die hard devoteeWewe utakuwa MUHAYA
Yaah naskia Mwanamboka anapenda sana wakati huo Lowassa ametangaza nia si ndo akaenda chadema kwa Mwamunyange kumuona kamanda Siro thubutu Makonda akapiga marufuku kuja dar,trump akashinda uchaguzi ndo Faru john akafa.
Kwani huoni hata aina ya muziki wao? Wapo wengi tu, muda utawaumbua.Pole yake
hivi makanisa ya walokole hili la unga halizungumzwi?
manake unasikia mtu mlokole
mara tena unasikia kawa teja
mara sijui anatumia viroba
huko makanisani kuna nini?