Gushleviv
JF-Expert Member
- Mar 14, 2011
- 3,475
- 5,290
Nimekufuatilia mpaka hapa wewe ni muongo tena unatenda dhambi sana. Mtoto wa Mama Lwakatare diwani anaitwa Mutta na ndio last born! sasa huyo mdogo wake ni yupi? Kama hamuwajui watu msipende kuwazushia uwongo, ndio maana mnabaki kuwa maskini kila siku sababu ya kuwazushia watu uwongo. Nakushauri ubadilike mkuu. Maana hao watoto wa Mama Lwakatare unaowazushia kwanza huwajui alafu wenzako kimaisha washatusua yaani hawana njaa. Its better ukawa busy na mambo yako kuliko kuja kwenye mitandao kuchafua watu usiowajua.Syo hyooo diwani...mdg wake sasa
OVA
Kweli nimeamini wabongo nuksi!