Rose Mhando huwa namkuta kituo cha Mwanamboka Kinondoni

Rose Mhando huwa namkuta kituo cha Mwanamboka Kinondoni

mrangi

JF-Expert Member
Joined
Feb 19, 2014
Posts
88,759
Reaction score
123,368
Hivi Huyu msani wa miziki ya injili kwa sasa Yuko chini ya usimamizi wa nani!
Namkutaga kwenye kituo cha mwendokasi nyuma ya mwanamboka aise naona kama anapoteaaa......kama yule kiuno bila mfupaaaa style.....

OVA
 
habari bila picha ni sawa na kunywa pombe bila kulewa hainogi,raha ya pombe kulewa
 
Mkuu hatari sana tena namkutaga na yule motto wa mch lwak mtoto wake kikubwa wangalie namna gani ya kumsaudia...wengine Sisi tukizungumza issues hizi tuna data zaidi ya picha

Ova
Pole yake
hivi makanisa ya walokole hili la unga halizungumzwi?

manake unasikia mtu mlokole
mara tena unasikia kawa teja
mara sijui anatumia viroba

huko makanisani kuna nini?
 
Hivi Huyu msani wa miziki ya injili kwa sasa Yuko chini ya usimamizi wa nani!
Namkutaga kwenye kituo cha mwendokasi nyuma ya mwanamboka aise naona kama anapoteaaa......kama yule kiuno bila mfupaaaa style.....

OVA
Hebu weka vzuri habari yako mkuu....una maana kwamba Rose hapaswi kusubiria mwendo kasi kituoni ama ?
 
Yaah! Huyu mama ndiyo naskia ndiyo mmiliki halali wa GSM!

Home Shopping Center ndiyo yake tena aliifilisi!

Ndiyo aliyo suka mpango mzima wa Fisadi Lowasa kuhamia CDM!!
 
Pole yake
hivi makanisa ya walokole hili la unga halizungumzwi?

manake unasikia mtu mlokole
mara tena unasikia kawa teja
mara sijui anatumia viroba

huko makanisani kuna nini?
Rose ni Mwanglikana na Waanglikana hawana msimamo mkali kwa vilevi na mengineyo hadi ushoga ume.....
Ulokole /fanatic ni wale wenye msimamo mkali wa imani
 
Mkuu hatari sana tena namkutaga na yule motto wa mch lwak mtoto wake kikubwa wangalie namna gani ya kumsaudia...wengine Sisi tukizungumza issues hizi tuna data zaidi ya picha

Ova

Mtoto yupi? yule aliepata udiwani mwaka jana?
si nasikia amepona yule?
 
Hivi Huyu msani wa miziki ya injili kwa sasa Yuko chini ya usimamizi wa nani!
Namkutaga kwenye kituo cha mwendokasi nyuma ya mwanamboka aise naona kama anapoteaaa......kama yule kiuno bila mfupaaaa style.....

OVA
Yaah naskia Mwanamboka anapenda sana wakati huo Lowassa ametangaza nia si ndo akaenda chadema kwa Mwamunyange kumuona kamanda Siro thubutu Makonda akapiga marufuku kuja dar,trump akashinda uchaguzi ndo Faru john akafa.
 
Back
Top Bottom