Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

Nimeona hii kitu kwenye twitter account ya mtu. Nimefuatilia thread haina majibu. Jamani inatia huruma. Wenye habari please help ili tuju, tujifunze au tusaidie.
Asanteni kwa mrejesho


Shetani hana rafiki
 
Kuna wakati fulani nlichangiaga Mada moja khsu Rose na matumizi ya ngada nliambulia madongo!

Ova
 
Hivi ni kitu gani kipo nyuma ya pazia kuhusu mtumishi wa Mungu Rose Muhando?

Ukitazama video hii, Rose anaropoka maneno ya kutisha.

Je, ni kweli kwamba waimbaji wa Injili wanaishi maisha ya kutisha namna hii?

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…