Pakawa
JF-Expert Member
- Mar 11, 2009
- 7,973
- 13,647
Solomon Mukubwa ni wa kutoka DRC kama ni mnyarwanda ni mcongo hiyo ni juu yake kwa ufupi si MTz period.Ni watanzania. Ama ni wanyarwanda?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Solomon Mukubwa ni wa kutoka DRC kama ni mnyarwanda ni mcongo hiyo ni juu yake kwa ufupi si MTz period.Ni watanzania. Ama ni wanyarwanda?
Usiombee yakupate ndugu yangu wewe walahi oohNgada ngada na kumkufuru kristo
binti mdogo neno walah linamaanisha niniUsiombee yakupate ndugu yangu wewe walahi ooh
Amejiroga mwenyewe!! Chakula ya nyoka hainaga masihara
ok msalimie faizafoxI swear, naapa View attachment 941699
Amepata alichokitafuta
ok msalimie faizafox
Kiswahili kinakusumbua rafikiUnamkana kisa karogwa? Haidhuru.
Nimeona hii kitu kwenye twitter account ya mtu. Nimefuatilia thread haina majibu. Jamani inatia huruma. Wenye habari please help ili tuju, tujifunze au tusaidie.
Asanteni kwa mrejesho