Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Una maoni gani kuhusu kauli ya Rose Mhando?
"Mimi siijui ndoa mpaka sasa naenda kutimiza miaka 50 sijawahi kuolewa. Sio kwamba mimi ni mbaya sana hapa! Mwanaume ambaye yupo tayari kunioa mimi kwanza ajue kabisa kwamba anaoa balozi wa Mungu, asiniwekee mipaka, mimi nahubiri Injili nchi mbalimbali duniani kwahiyo mara nyingi nakuwa sipo nyumbani"
"Awe mvumilivu na mstahimilivu, aelewe ameoa mwanamke wa aina gani, tatizo kubwa ni kwamba sio rahisi kumpata mwanaume wa aina hiyo kwa kizazi cha sasa"-Rose Muhando