Rose Mhando: Mimi siijui ndoa mpaka sasa naenda kutimiza miaka 50 sijawahi kuolewa

"Mimi siijui ndoa mpaka sasa naenda kutimiza miaka 50 sijawahi kuolewa. Sio kwamba mimi ni mbaya sana hapa! Mwanaume ambaye yupo tayari kunioa mimi kwanza ajue kabisa kwamba anaoa balozi wa Mungu, asiniwekee mipaka, mimi nahubiri Injili nchi mbalimbali duniani kwahiyo mara nyingi nakuwa sipo nyumbani"

"Awe mvumilivu na mstahimilivu, aelewe ameoa mwanamke wa aina gani, tatizo kubwa ni kwamba sio rahisi kumpata mwanaume wa aina hiyo kwa kizazi cha sasa"-Rose Muhando
Huyu si ameolewa Kahama majuzi
 
View attachment 3027870
Athibitishe kwamba huyo Mungu yupo kwanza.
 
Watu mnapenda sana kujaji maisha ya watu. Kuishi ni kuchagua, kila mtu na maisha yake, binafsi hayo mambo ya serious relationship nimejaribu nimeshindwa nimeamua tu lolote na liwe. Usiingie kwenye mahusiano na mtu kama mitazamo tofauti. Mambo ya kuwapangia watu maisha ni uvivu wa kufikiri.
 
Back
Top Bottom