LOTH HEMA
JF-Expert Member
- Dec 6, 2015
- 18,611
- 27,615
Labda wanaume type yake ndio watamtaka. Mwanaume wa kawaida mwenye kutaka kumuona mke wake kila akimhitaji hataweza masharti yake. Halafu huyo mwanaume atakayekubali masharti hayo atakuwa zoba. Hata kwenye maisha ya ndoa ya kikristo hayawezi ku obey law zake, hiyo ndoa itaparanganyika. Hawa wamama wakishafikia umri mkubwa bila ndoa huongea maneno ya ajabu kana kwamba wanataka ndoa ili waonekane ndoa wanazitaka ila wamekosa wanaume wa kuwaoa watakaotii matwakwa yao