Jobless_Billionaire
JF-Expert Member
- Aug 9, 2022
- 3,106
- 8,101
Hatari sana. Na wanatoa kauli za kijasiri kana kwamba wao ndio wanaumeWasanii wengi wanaoingia kwenye kuimba gospel hawana hofu ya Mungu wala wito
Wanaingia kuimba gospel kukimbia competition iliyopo kwenye bongo fleva
Muda utazidi kuwaumbua
Hiyo mwanaume wa kukubali hayo masharti anapaswa kuhasiwa kabisa.Kwahy Mungu wake amemuambia asiwe na heshima kwa mume wake?
Mana mambo ya kusema mume awe msikivu na mstamilivu mana ake awe mshika mapembe
Ni mrushaji wa zile ndege za kanji, almaarufu kama AVIATORNdio nani huyo huko Daslam?
Sawa nimemsikia kumbe Jimbo halina mgombea"Mimi siijui ndoa mpaka sasa naenda kutimiza miaka 50 sijawahi kuolewa. Sio kwamba mimi ni mbaya sana hapa! Mwanaume ambaye yupo tayari kunioa mimi kwanza ajue kabisa kwamba anaoa balozi wa Mungu, asiniwekee mipaka, mimi nahubiri Injili nchi mbalimbali duniani kwahiyo mara nyingi nakuwa sipo nyumbani"
"Awe mvumilivu na mstahimilivu, aelewe ameoa mwanamke wa aina gani, tatizo kubwa ni kwamba sio rahisi kumpata mwanaume wa aina hiyo kwa kizazi cha sasa"-Rose Muhando
View attachment 3027870
Eh kumbe alikimbiwa 😂 mwanaume mpya kwa single maza haoi ila anaendeleza safari ya kuzalisha na kuachaHiyo mwanaume wa kukubali hayo masharti anapaswa kuhasiwa kabisa.
Ndio maana kuna njemba iliona imzalishe tu
Nadhani katoa angalizo kwamba hatampa muda huyo mume…. Yaani mume ajiandae kupata nusu mkateKwahy Mungu wake amemuambia asiwe na heshima kwa mume wake?
Mana mambo ya kusema mume awe msikivu na mstamilivu mana ake awe mshika mapembe
Umalaya tu!"Mimi siijui ndoa mpaka sasa naenda kutimiza miaka 50 sijawahi kuolewa. Sio kwamba mimi ni mbaya sana hapa! Mwanaume ambaye yupo tayari kunioa mimi kwanza ajue kabisa kwamba anaoa balozi wa Mungu, asiniwekee mipaka, mimi nahubiri Injili nchi mbalimbali duniani kwahiyo mara nyingi nakuwa sipo nyumbani"
"Awe mvumilivu na mstahimilivu, aelewe ameoa mwanamke wa aina gani, tatizo kubwa ni kwamba sio rahisi kumpata mwanaume wa aina hiyo kwa kizazi cha sasa"-Rose Muhando
View attachment 3027870
Is sex oxygen? Ukiyaendekeza ya ngono utatoa kauli kama hizoYaani namaanishaa haja zake za kimwili ehee za kimwili anamalizia wAPI.anazini huyuu