Rose Mhando: Mimi siijui ndoa mpaka sasa naenda kutimiza miaka 50 sijawahi kuolewa

Ndiyo Msanii wa Kwanza Tanzania hii namsikia akisema Umri wake halisi.

Wenzao akina Wema Sepetu bado wanashikilia rekodi ya kuwa na umri usioongezeka wa miaka 28 tangu Rais akiwa JPM hadi leo hii Rais ni Samia Suluhu Hassan πŸ™Œ
 
Huyo si wa kuoa, labda aolewe
mwanamke unawawekeaje masharti waoaji
ajitahidi tu apate mwanaume bwege
 
Anatafute Mume at this age? Yeye aendelee kumtumikia mungu tu aachane na mambo ya Ma Rungu. Kila mtu abaki na wito wake.
 
Ndoa ni Sakrament takatifu,haimaanishi kwakuwa wewe ni balozi wa Mungu ushindwe kutimiza wajibu wako wa ndoa,kujifanya uko busy kumtumikia Mungu wakati mumeo humpi unyumba ipasavyo hiyo nayo ni dhambi...
 
Kuna kitu Rose Muhando hajakijua.
Mpaka sasa licha ya kumtumikia Mungu hajui Mungu anasema nini juu ya maisha yake.
Je, ni mtawa (hataolewa) hajui
Je, kafungwa na Ibilisi asiolewe ili aikose furaha, hajui pia.
Kila kwenye mahojiano yake lazima agusie kuwa yuko single na yuko tayari kwa ndoa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…