Rose Muhando anasakwa na uongozi wa sober house ya PEDEREF

Mzee dini zimekuwa biashara. Kwa hilo tendo sidhani kama atasalimika. Ndo basi tena tunampoteza mwenzetu. Matokeo yake mtu anachanganyikiwa hivihivi, sijui amekosea nini?
Mwanzo huwa wanaanzaga vizuri sana....tatizo wakifika mjini wakawa wanapishana na bongo movie na ma bongo flavor basi nao hujisahau na kujikita kibiashara zaidi.. Kama ni kweli amekumbwa na tatizo hilo basi Mungu yupo kwenye operation yake
 
Mnahangaika kumtafuta rose mhando na huku ni huyu hapa
 
 
Inawezekana,nani alijua lusekelo anapiga bapa
 
Naona unafurahia biashara ya madawa ya kulevya na siyo athari zake. Ni hivi karibuni, pia, ulikuwa unashutumu kitendo cha kuwaachia waliokamatwa kwa matumizi ya madawa. Unaeleweka msimamo wako.
Huwezi mlazimisha mtu aache unga....kuacha atañe mwenyewe

Ova
 
Labda wanawaekea kwenye vinywaji au chakula au mic bila wao kujua na baadae kuomba chakula au kinywaji kama cha jana yake. Na mwisho wa siku kuambiwa viungo vya hivyo vyakula na vinywaji.
Jambo usilolijuwa ni sawa na usiku wa Giza....hivi UNGA unaujuwa?unga ni machungu mno.... Hakuna njia ya kujifunza zaidi ya KUVUTA.... UNGA ni mchungu zaidi ya chloroquine.... Hata ukishika tu...bila kunawa mikono huli chochote...jinsi mikono ilivyo michungu....ndy maana MATEJA sura ZAO wote wanafanana...sababu ya uchungu wa UNGA... Tena anayeanza haanzi na kujichoma sindano... Ataanza na sigara..au atie puani avute...ukimkolea sana ndy anatumia sindano....labda atwambiye aliekewa KWENYE sigara?na iweje MTU wa kwaya za injili avute sigara?TEJA hana sababu wala asimlaumu MTU.... Ni tamaa zake mwenyewe...
 
Mkuu cocaine Ndio inatumiwa na wasanii wengi wanapokuwa na hela.
Wakiishiwa Ndio wanarudi Kwenye heroine kwani cocaine ni ghali Sana.
Kwa zile stail alizokuwa nazo Huyu dada zinahitaji cocaine ili upate stimu ya kutosha
Heroin inakufanya Kama zezeta mwanzoni, haimfai mwanamziki anayetaka kuperform
 
Labda nikufafanulie mkuu...cocaine (white sugar)wanavyoiita wenyewe..ni ile inayolimwa PERU...na COLOMBIA... ambayo imejaa BRAZILI na inchi nyingi za America ya kusini....ile unaweza ukatumia hata miaka na MTU asikugunduwe...na pia haina arosto Kali kama heroin.... Mastaa wengi huvuta ili wawe HIGH....katika shughuli mbali mbali ..iwe mziki...au hata sex....unakuwa high sana...ila hii heroin (brown sugar) inalimwa Afghanistan na IPO sana Asia...India..Iran..Pakistan.. Turkey... Hii ni mbaya sana..INA arosto Kali sana...MTU hapendi kuoga....akiikosa tumbo linauma..au hata kujinyea..hii ndiyo IPO sana hapo kwetu Tz...japokuwa na hiyo white sugar...IPO pia...ndy hyo wanayovuta baadhi ya Dada zetu waliohusishwa na MADAWA... Hiyo BEI yake ni Mara mbili ya heroin...na kila moja INA ladha yake tofauti kabisa....na hata uvutaji unatofautiana...na heroin...ile white sugar unaweza ukamaliza hata million kwa siku..jinsi ulivyo mtamu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…