Kulikoni?Mhh!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kulikoni?Mhh!
Mzee dini zimekuwa biashara. Kwa hilo tendo sidhani kama atasalimika. Ndo basi tena tunampoteza mwenzetu. Matokeo yake mtu anachanganyikiwa hivihivi, sijui amekosea nini?Kulikoni?
Mwanzo huwa wanaanzaga vizuri sana....tatizo wakifika mjini wakawa wanapishana na bongo movie na ma bongo flavor basi nao hujisahau na kujikita kibiashara zaidi.. Kama ni kweli amekumbwa na tatizo hilo basi Mungu yupo kwenye operation yakeMzee dini zimekuwa biashara. Kwa hilo tendo sidhani kama atasalimika. Ndo basi tena tunampoteza mwenzetu. Matokeo yake mtu anachanganyikiwa hivihivi, sijui amekosea nini?
Mnahangaika kumtafuta rose mhando na huku ni huyu hapaUnatafuta umaarufu kupitia majinaya walio maarufu. Bila shaka unataraji story yako itasomwa na wengi sabbu ya Jina la Rose muhando..
lakini jiulize je ina mashiko? Umesema Rose yupo kanisani kwanini wasimfuatae.inasikitisha sana pale watu wanapotumia majina ya wengine ili kutangaza biashara zao .huyo Nuru salehe.. ndio nani? Ana hadhi gani katika Taifa hili?
Kama naanza kukuelewa mkuu....
'Hata hivyo, Wikienda ilimtafuta mmliki wa Sober ya Pederef, Nuru Saleh aliyekiri kupewa kazi ya kumtafuta Rose na kumfikisha katika soba yao iliyopo Dodoma na kuanza kumpatia tiba ya kuacha matumizi ya madawa ya kulevya'
Nilipoiona hiyo paragraph nikajua dhahiri kuwa hii ni Chai.Ahsante kwa taarifa Mkuu.
Hata haya Magazeti ya nchini usiyaamini sana!
Huwezi mlazimisha mtu aache unga....kuacha atañe mwenyeweNaona unafurahia biashara ya madawa ya kulevya na siyo athari zake. Ni hivi karibuni, pia, ulikuwa unashutumu kitendo cha kuwaachia waliokamatwa kwa matumizi ya madawa. Unaeleweka msimamo wako.
Jambo usilolijuwa ni sawa na usiku wa Giza....hivi UNGA unaujuwa?unga ni machungu mno.... Hakuna njia ya kujifunza zaidi ya KUVUTA.... UNGA ni mchungu zaidi ya chloroquine.... Hata ukishika tu...bila kunawa mikono huli chochote...jinsi mikono ilivyo michungu....ndy maana MATEJA sura ZAO wote wanafanana...sababu ya uchungu wa UNGA... Tena anayeanza haanzi na kujichoma sindano... Ataanza na sigara..au atie puani avute...ukimkolea sana ndy anatumia sindano....labda atwambiye aliekewa KWENYE sigara?na iweje MTU wa kwaya za injili avute sigara?TEJA hana sababu wala asimlaumu MTU.... Ni tamaa zake mwenyewe...Labda wanawaekea kwenye vinywaji au chakula au mic bila wao kujua na baadae kuomba chakula au kinywaji kama cha jana yake. Na mwisho wa siku kuambiwa viungo vya hivyo vyakula na vinywaji.
Mkuu cocaine Ndio inatumiwa na wasanii wengi wanapokuwa na hela.Ni kweli lakini hii wanayovuta hawa...si ile cocaine.... Hawa wanavuta heroine... Hii ni mbaya sana....hii ni albadiri ya KIHINDI... Ukianza utajificha lakini muda unavyozidi kusonga UTAJULIKANA TU...kama unatumia... Hii haijifichi...tofauti na COCAINE..
Labda nikufafanulie mkuu...cocaine (white sugar)wanavyoiita wenyewe..ni ile inayolimwa PERU...na COLOMBIA... ambayo imejaa BRAZILI na inchi nyingi za America ya kusini....ile unaweza ukatumia hata miaka na MTU asikugunduwe...na pia haina arosto Kali kama heroin.... Mastaa wengi huvuta ili wawe HIGH....katika shughuli mbali mbali ..iwe mziki...au hata sex....unakuwa high sana...ila hii heroin (brown sugar) inalimwa Afghanistan na IPO sana Asia...India..Iran..Pakistan.. Turkey... Hii ni mbaya sana..INA arosto Kali sana...MTU hapendi kuoga....akiikosa tumbo linauma..au hata kujinyea..hii ndiyo IPO sana hapo kwetu Tz...japokuwa na hiyo white sugar...IPO pia...ndy hyo wanayovuta baadhi ya Dada zetu waliohusishwa na MADAWA... Hiyo BEI yake ni Mara mbili ya heroin...na kila moja INA ladha yake tofauti kabisa....na hata uvutaji unatofautiana...na heroin...ile white sugar unaweza ukamaliza hata million kwa siku..jinsi ulivyo mtamuMkuu cocaine Ndio inatumiwa na wasanii wengi wanapokuwa na hela.
Wakiishiwa Ndio wanarudi Kwenye heroine kwani cocaine ni ghali Sana.
Kwa zile stail alizokuwa nazo Huyu dada zinahitaji cocaine ili upate stimu ya kutosha
Heroin inakufanya Kama zezeta mwanzoni, haimfai mwanamziki anayetaka kuperform