Rose Muhando kusilimu

Rose Muhando kusilimu

Alikua hajaokoka huyu
Rose Muhando hajawahi Sena popote kuwa kaokoka yeye ni msanii wa nyimbo za injili sio mwimbaji wa nyimbo za injili mdaini wa nyimbo za injili aweza kuwa mpagani,mwislamu au ambaye dini kwake sio kitu sana Hawa huuza Sanaa zao Kwa bei ya kuruka ni wauzaji wa Sanaa zao.Na hawajifichi Wana hadi chama chao cha wasanii wa nyimbo za injili wengi wao hata makanisa hawana wanakosali Na wengi hawaendi kanisani labda wawe wamealikwa kuimba
 
Bado hajagundua ukweli ndio maana anapata tabu
 
Umeharibu wasichana kwa kuvaa vinguo vyako vifupi, ukisemwa ili uwe sahihi, unasema Wakristo hawana upendo, unafikiri kupendwa mpaka uchekewe tu, hata kusemwa kwa kukoselewa nao ni upendo.
 
Habari ya mwaka juzi imerudiwa tena humu
 
Amuone Diamond amuunganishe na Freemasons
 
Aache mikwala mbuzi arudishe pesa ya watu! Kama Upendo!; Wakristo hawawezi wakamzidi Mungu wetu, Ambaye hadi Leo hajamsamehe shehetani [emoji15] [emoji4]
 
Back
Top Bottom