Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Rose Muhando hajawahi Sena popote kuwa kaokoka yeye ni msanii wa nyimbo za injili sio mwimbaji wa nyimbo za injili mdaini wa nyimbo za injili aweza kuwa mpagani,mwislamu au ambaye dini kwake sio kitu sana Hawa huuza Sanaa zao Kwa bei ya kuruka ni wauzaji wa Sanaa zao.Na hawajifichi Wana hadi chama chao cha wasanii wa nyimbo za injili wengi wao hata makanisa hawana wanakosali Na wengi hawaendi kanisani labda wawe wamealikwa kuimbaAlikua hajaokoka huyu
Arudi /asirudi yote ni maisha yake achague anachoona kinamfaa.
Ooh tumepotezana sana noona missed u too darling.Noona darling, I miss you [emoji24]