Ave Ave Maria
JF-Expert Member
- Apr 22, 2011
- 10,707
- 5,678
Kila Mkristo atambue hili. Ukimkiri Yesu kuwa mwokozi wa maisha yako, tayari umetangaza vita na shetani na mawakala wake.
Hizo ndio hatua za kurudi Misri. Yanaanza mawazo, baadaye matendo.
Huyu dada anadhani kwa Yesu ni tambarare kama wanavypotosha baadhi ya watu.
Vv
Kama uvumi huu ni kweli basi kuna mambo mawili nayaona :- either huyu rose alifuta watu na sio Mungu wa kweli. Inasikitisha kuona kwamba kwa miaka yote Hiyo ya utumishi wake hakuweza kumjua Mungu wa kweli Yaani YESU KRISTO. Najiuliza alikuwa akimtumikia Mungu yupi?
Jambo la pili ni kuwa inawezekana huyu Dada ameona amefilisika kiutumishi so hana kipya so anatafuta visingizio kuwa eti hakupewa upendo. Najiuliza alitaka upendo kutoka kwa nani?
Ushauri wangu kwake kama ameyasema Haya basi imempasa atubu haraka sana na Mungu (Yesu kristo )atamsamehe kabisa. Atambue kuwa Hakuna mtu yeyote aliwahi kumdhihaki Mungu akabaki hai.
Aende tuu anatia aibu ukristo
wee wwww uislam ndo unataka waovu? be careful
Carefully about what?...
Kuna mahali nimesema uislam unataka maovu??
Sipendi kuongelea udini so mind your business.
duh hapo mmekutana sasa 'cute' na 'wa ukweli'
Kila Mkristo atambue hili. Ukimkiri Yesu kuwa mwokozi wa maisha yako, tayari umetangaza vita na shetani na mawakala wake.
Kama wewe ni wakala wa shetani lazima utabisha lolowapi
anavyosema anaaibisha wakristo maana yake nini?