Rose Muhando: Nafikiria kurudi kwenye Uislamu

Rose Muhando: Nafikiria kurudi kwenye Uislamu

Kila Mkristo atambue hili. Ukimkiri Yesu kuwa mwokozi wa maisha yako, tayari umetangaza vita na shetani na mawakala wake.

Hata kama alihubiriwa upendo akaukuta haupo......je, yeye mwenyewe hana imani?
Harejei Biblia inavyosema? Bureee kabisa!
Bora angesema anarudi kwa sababu za kiimani zaidi hapo ningemuelewa maana kila mtu anafuata kile alichokiona kwamba ndio sahihi.
 
Hizo ndio hatua za kurudi Misri. Yanaanza mawazo, baadaye matendo.

Huyu dada anadhani kwa Yesu ni tambarare kama wanavypotosha baadhi ya watu.

Vv

Amekumbuka nyama alizokua ana kula misri kushiba na kusaza.
Kwa Yesu hakuna tambarare ni vita mwanzo mwisho. Sasa yeye amrkumbuka Misri. Kwani yeye hawezi Ku practice upendo Mpaka aone kwa wengine. Imani yake ndogo ya kuangalia watu badala ya Kristo. Safari njema aendako.
 
Kama uvumi huu ni kweli basi kuna mambo mawili nayaona :- either huyu rose alifuta watu na sio Mungu wa kweli. Inasikitisha kuona kwamba kwa miaka yote Hiyo ya utumishi wake hakuweza kumjua Mungu wa kweli Yaani YESU KRISTO. Najiuliza alikuwa akimtumikia Mungu yupi?
Jambo la pili ni kuwa inawezekana huyu Dada ameona amefilisika kiutumishi so hana kipya so anatafuta visingizio kuwa eti hakupewa upendo. Najiuliza alitaka upendo kutoka kwa nani?
Ushauri wangu kwake kama ameyasema Haya basi imempasa atubu haraka sana na Mungu (Yesu kristo )atamsamehe kabisa. Atambue kuwa Hakuna mtu yeyote aliwahi kumdhihaki Mungu akabaki hai.
 
Wengi tu hawamjui Mungu wanayemtumikia, ndio maana kuna machukizo mengi yanafanyika madhabahuni; hushangai Madhabahu zinalazimishwa kubariki ndoa za jinsia moja?

Vv
 
Azisikilize nyimbo zake kuanza ya kwanza hadi ya mwisho labda haelewi anaimba nn afu afikili upya maamuzi yake juu ya Ukristo anaotaka kuuacha, ajirekebishe na aishi kama watakatifu waishivyo na arudie kusoma Amri ambazo Yesu kristo alizitoa kwa wakristo
 
Carefully about what?...
Kuna mahali nimesema uislam unataka maovu??
Sipendi kuongelea udini so mind your business.

duh hapo mmekutana sasa 'cute' na 'wa ukweli'
 
Hata kabla hujawa Na uamuzi huo, tayari sie tulishokuona kuwa uko kibiasha zaidi, Na siku zote dunian hakuna biashara isiyoyumba. Na wew sasa unayumba kimapato
 
Kama wewe ni wakala wa shetani lazima utabisha lolowapi
 
Last edited by a moderator:
Habari za uongo hizi. Ngoja sheria mpya ianze kazi uzushi upungue
 
Kwani nikweli wewe ni mfuasi Wa shetani? lolowapi
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom