Rose Muhando: Nafikiria kurudi kwenye Uislamu

Alivyokua anakata viuno vyake bora arudi huko nao akawakatikie mauno yake
 
Mziki wa injili una majungu sana, watu wanataka uwaimbie kavu kavu bila hata kifuta jasho wakat gharama za kurekodi ni ningi kuliko.

Waimbaji wa injili wametengwa na mfumo wanaonekana hawana Mungu pamoja na majungu mengi.

Kwa challenges kama hizo ni vigumu sana kwa mtu mwenye roho nyepesi kustahili mfano tu ni pale Rose alipobeba tuzo ya KITMA walokole wenzake wakaanza majungu ooh mara tuzo za walevi sijui nini.

Rose usirudi Misri tafadhali, bakia Kanani Mungu atakutokea kwa njia ya tofauti ila ukithubutu kurudi misri HAKIKA #UTAKUFA .
 

Kumbe huwa una pwenti hivi. .

Kula like:thumbup:
 
Christianity is not stopping doing things you love and starting doing things you hate. Ukiwa na mentality hiyo utaona Ukristo ni mzigo.
Kama wewe ni Mkristo na bado unawaonea wivu wanaofanya starehe zenye dhambi ndani yake (mf uasherati) ujue unahitaji mwongozo zaidi.
Kuhusu Rose Mhando, kama kweli ameyasema hayo basi na yeye hakuingia kwenye Ukristo kwa msingi wake bali aliingia ili apate kitu fulani.
Ni sawa na mtu anapomwambia mwenza wake awe Mkristo ili waoane, hapo kiimqni hajafanya la maana.
 
Mkuu kisima kuwa na heshima na imani za wengine.Unasema huko kwa wavaa 'hijab'kipaji chake kingeonekana na nani? Mbona hao wakina diamond na Kiba mnaowashabikia sio wakristo?
 
Siku Moja nikiwa kyeeela, Abiud Misholi as a dedication to Rose Mhando
 

Kakobe ndio nani?.
Na ana mamlaka gani ya kulaani?
 

Hakika hakuna atakaye ishi milele.
Amina!
 
ulipo kuwa huko kwa wavaa hijab kipaji chako kilijulikana na nani? na kilikukunufaisha vipi?
Mkuu mbona wakina Diamond na Kiba wako huko huko kwa wavaa hijab? Vipaji vyao vilionekana na nani? Na ndio wasanii wanaoongoza kushabikiwa humu JF na Tanzania kwa ujumla.Acha matusi mwana kwa imani za wenzako.Wewe kama unamsema Rose mseme tu lakini usitukane na imani za wengine mkuu.
 
Ni Yesu yupi anayefundisha watu kutumia maneno ya kejeli na vijembe kwa waumini? Jipime kabla hujasema.
 
Hivi ile mimba yake ilikuwaje? Yaani huwa anahama imani kwa kuangalia watu wanamfanyia nini sio kumtafuta mungu, huwezi kufanikiwa kwa kusubolo huruma ya mwanadamu
 
Kwa utapeli huo.......chaaa.......aende tu........

Ameona hana wafuasi kama wa enzi za nyimbo za utulivu, aangalie asijeenda vuruga na zile kaaswida, maanake huwa kama kavurugwa vile!!!
 
+global siwaamini labda ningemsikia Rose mwenyewe!

+kwa sababu hata hizi skendo za utapeli walikua wanareport global hao hao
 
kama ni kweli haina maana hata kusikiliza nyimbo zake.
 
Moyo wa mtu ni kichaka.....anajua atendalo, kila la kheri katika safari yako
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…