Aende tuu anatia aibu ukristo
asije abaki huko huko walipompokea kwa vigeregere waislam hatutaki mtu wa tabia zake labda abadilike, utapeli si sifa nzuri kwa muislamKwa utapeli huo.......chaaa.......aende tu........
Aende tuu anatia aibu ukristo
great thinker!! thumb upAibu ya kwenye madhabahu ni kunengua tu ila kufungisha ndoa za jinsia moja ni busara sio? Kama leo anatangaza kuondoka ndo unasema aibu, kipindi yupo ulikuwa unashangilia! Dumb nut!
Arudi kwenye dini ya kweli na haki!
dini inayomtambua mungu mmoja tu,
Mungu asiyekuwa na mshirika hata,
muhammad ni mjumbe wake,
Mungu asiyezaliwa wala kuumbwa,munguasiyezaa,
Mungu ambae anasamehe,ukitubu kwa dhati
Allah anasamehe?
asije abaki huko huko walipompokea kwa vigeregere waislam hatutaki mtu wa tabia zake labda abadilike, utapeli si sifa nzuri kwa muislam