Rose Muhando: Ruge alinuia na kujiapiza kuuwa vipaji vya wakongwe wa gospel ili aweke wake

Rose Muhando: Ruge alinuia na kujiapiza kuuwa vipaji vya wakongwe wa gospel ili aweke wake

USSR

JF-Expert Member
Joined
Jul 15, 2015
Posts
10,904
Reaction score
26,184
Star wa music wa injili afrika mashariki na Kati Rose Muhando amefanya mahojiano na Rabbi TV ya nabii Malisa wa mwanza na kusema marehemu Ruge alimtamkia kuwa wakongwe mlinga nitawanyoosha kwa kuibua vijana wapya mbele ya wasanii wakongwe wote walipokataa kupiga kazi kwenye tamasha la kidunia la fiesta .

Rose amesema wote alikwambia marehemu Ruge hawana pa kushika kuhusu nani wamemgeuka Kati ya Mungu na Shetani ,Nandi, Good luck Gosbert,Walter Chilambo,Angel Bernard na Barnabas wote wanaimba Mara gospel Mara ya dunia

USSR
 
Kama alimwambia hivyo basi alimwambia maneno ya kishujaa dunia inahitaji kuwa na watu kama Ruge ili kila mtu aipambanie nafasi yake bila kutegemea favour
 
Bosi Ruge Amelalamikiwa na wasanii kibao wakiwemo hawa
1. Diamond plutnumz.
2. Sugu na vinega
3. Ruby
4. Rose mhando
5. P Funk majani

Marehemu hasemwi ila Ruge alikuwa na Tatizo
Lady Jay Dee, had kusema akifa Ruge asihudhurie msiba wake, cha ajabu katangulia Ruge, na yeye komando alihudhuria msiba.
 
Bosi Ruge Amelalamikiwa na wasanii kibao wakiwemo hawa
1. Diamond plutnumz.
2. Sugu na vinega
3. Ruby
4. Rose mhando
5. P Funk majani

Marehemu hasemwi ila Ruge alikuwa na Tatizo
Wewe huna tatizo?

Muziki wa bongo bila Ruge Leo hii usingekua hapa ulipo. Huyo diamond alipogombana na waliomtoa, ruge ndio alimsaidia kumrudisha kwenye mstari na kufanya vizuri kimataifa. Bila Ruge diamond alikua kishapotea.

Ruge ndio alimkabidhi diamond kwa babu tale.
 
Bosi Ruge Amelalamikiwa na wasanii kibao wakiwemo hawa
1. Diamond plutnumz.
2. Sugu na vinega
3. Ruby
4. Rose mhando
5. P Funk majani
6. Lady jaydee

Marehemu hasemwi ila Ruge alikuwa na Tatizo
Wasanii wenu wa Tanganyika wanapenda kujiliza liza
 
Back
Top Bottom