Kipangaspecial
JF-Expert Member
- Mar 30, 2020
- 20,778
- 28,722
Hakuna kitu cha ajabu hapo, unakuwa kama kizibo bwana,Lady Jay Dee, had kusema akifa Ruge asihudhurie msiba wake, cha ajabu katangulia Ruge, na yeye komando alihudhuria msiba.
Binadamu anaishi kwa hisia , muda wowote anaweza kubadlika. Ndio maana Samia Suluhu Hasan wa Magufuli sio huyu Samia wa Kikwete. Jifunze.