Kipangaspecial JF-Expert Member Joined Mar 30, 2020 Posts 20,778 Reaction score 28,722 Jul 11, 2023 #21 cocastic said: Lady Jay Dee, had kusema akifa Ruge asihudhurie msiba wake, cha ajabu katangulia Ruge, na yeye komando alihudhuria msiba. Click to expand... Hakuna kitu cha ajabu hapo, unakuwa kama kizibo bwana, Binadamu anaishi kwa hisia , muda wowote anaweza kubadlika. Ndio maana Samia Suluhu Hasan wa Magufuli sio huyu Samia wa Kikwete. Jifunze.
cocastic said: Lady Jay Dee, had kusema akifa Ruge asihudhurie msiba wake, cha ajabu katangulia Ruge, na yeye komando alihudhuria msiba. Click to expand... Hakuna kitu cha ajabu hapo, unakuwa kama kizibo bwana, Binadamu anaishi kwa hisia , muda wowote anaweza kubadlika. Ndio maana Samia Suluhu Hasan wa Magufuli sio huyu Samia wa Kikwete. Jifunze.
Mimi Ni Mtu Wa Mungu JF-Expert Member Joined Dec 8, 2021 Posts 679 Reaction score 1,295 Aug 20, 2023 #22 Sandali Ali said: Hii huduma ya uimbaji ina Uyezebeli ndani yake Click to expand... dah Yezebeli alimtumbukiza mumewe kwenye dhambi!
Sandali Ali said: Hii huduma ya uimbaji ina Uyezebeli ndani yake Click to expand... dah Yezebeli alimtumbukiza mumewe kwenye dhambi!
Landrover 109 JF-Expert Member Joined Mar 22, 2019 Posts 384 Reaction score 597 Aug 20, 2023 #23 FRESHMAN said: Bosi Ruge Amelalamikiwa na wasanii kibao wakiwemo hawa 1. Diamond plutnumz. 2. Sugu na vinega 3. Ruby 4. Rose mhando 5. P Funk majani 6. Lady jaydee Marehemu hasemwi ila Ruge alikuwa na Tatizo Click to expand... 7. Dudubaya
FRESHMAN said: Bosi Ruge Amelalamikiwa na wasanii kibao wakiwemo hawa 1. Diamond plutnumz. 2. Sugu na vinega 3. Ruby 4. Rose mhando 5. P Funk majani 6. Lady jaydee Marehemu hasemwi ila Ruge alikuwa na Tatizo Click to expand... 7. Dudubaya
R Right eye JF-Expert Member Joined Sep 6, 2022 Posts 1,149 Reaction score 1,994 Aug 20, 2023 #24 USSR said: Huwa ni komando wa mafunzo gani USSR Click to expand... Itakua kushinda njaa
saleni JF-Expert Member Joined Apr 6, 2019 Posts 1,880 Reaction score 2,843 Aug 21, 2023 #25 Justine Marack said: Ruge alipekenya Mbususu ya Mandy kwa malipo ya airtime Click to expand... Na zama kwa malipo ya kazi ya utangazaji mjengoni.
Justine Marack said: Ruge alipekenya Mbususu ya Mandy kwa malipo ya airtime Click to expand... Na zama kwa malipo ya kazi ya utangazaji mjengoni.