Money Stunna
JF-Expert Member
- Aug 9, 2011
- 13,053
- 6,304
Msanii wa bongo movies Rose Ndauka amerudi kwa mama yake kigogo baada ya kugundua mchumba wake aliyekuwa anaishi naye na baba wa mtoto,kuwajaza mimba wanawake wawili tofauti.
Mchumba huyo Malick Bandawe amewajaza mimba wanawake hao mimba na tayari wamejifungua.Baada ya kugundua ilo Msanii Rose Ndauka akafungasha virago na kurudi kwao.
hao ndo wanyaume rose
ukitaka wa kwako muumbe mwenyewe
Au akate mgomba auweke ndani....ndoa wanaifanyia majaribio??Hao wanasayansi wenyewe wameshindwa....akakae huko kigogo asubirie panya road basiiiiii wamshughulikie.
neno hilooo
na dini kabadili kuffata mume si mume si hawara
neno hilooo
na dini kabadili kuffata mume si mume si hawara
hao ndo wanyaume rose
ukitaka wa kwako muumbe mwenyewe
mi naomba kuuliza hizo kawajaza akiwa anaishi na Rose ama? kama ndivyo basi ni too much sidhani kama hata wanamiaka mitano pamoja tayar katia mimba wawili je wakifikisha miaka kumi si atakuwa amefikisha mimba kumi haaa!
halafu mtu anayetiaje mimba kwa kasi hivyo jamani condom zote hizi madukani zimejaa tele...
Pole zake....anajifunza.
kipindi yuko na rose ndo alikua anakitembezs hvyo
yaani haogop hta ngoma
kujifunza mtoto wa pili shhost!!!!
Amejifunza huyo Rose....huyo mwanaume hana cha kujifunza maana ndo tabia yake inaelekea.
Si kakimbilia ndoa??ndo avumilie maana sio vita hyo
Sijaelewa....huyu bwana bandawe kazaa na Rose watoto wawili o??au huko nje kapiga phumbu mademu wawili na wote kawapa mimba.
Msanii wa bongo movies Rose Ndauka amerudi kwa mama yake kigogo baada ya kugundua mchumba wake aliyekuwa anaishi naye na baba wa mtoto,kuwajaza mimba wanawake wawili tofauti.
Mchumba huyo Malick Bandawe amewajaza mimba wanawake hao mimba na tayari wamejifungua.Baada ya kugundua ilo Msanii Rose Ndauka akafungasha virago na kurudi kwao.
neno hilooo
na dini kabadili kuffata mume si mume si hawara
Rose hajabadili dini kwani toka akiwa mdogo alikuwa ni muislam na jina lake la udogo ni Aisha na hata madrasa amesoma.yeye anaweza kukaa upande wowote as babake ni mkristo na mamake ni muislam