Rose ndauka arudi kwao baada ya mchumba wake kuwajaza mimba wanawake 2 tofauti

Money Stunna

JF-Expert Member
Joined
Aug 9, 2011
Posts
13,053
Reaction score
6,304
Msanii wa bongo movies Rose Ndauka amerudi kwa mama yake kigogo baada ya kugundua mchumba wake aliyekuwa anaishi naye na baba wa mtoto,kuwajaza mimba wanawake wawili tofauti.

Mchumba huyo Malick Bandawe amewajaza mimba wanawake hao mimba na tayari wamejifungua.Baada ya kugundua ilo Msanii Rose Ndauka akafungasha virago na kurudi kwao.
 
YUle jama hajatulia, kuna siku nilikutana nae ambrosia alikuwa anadandia mademu kama hana akili nzur
 
hao ndo wanyaume rose
ukitaka wa kwako muumbe mwenyewe

Au akate mgomba auweke ndani....ndoa wanaifanyia majaribio??Hao wanasayansi wenyewe wameshindwa....akakae huko kigogo asubirie panya road basiiiiii wamshughulikie.
 
neno hilooo
na dini kabadili kuffata mume si mume si hawara
 
Kweli sanaa hailipi,kwahiyo msanii mkubwa kama ndauka karudi kwa mama hata kupanga chumba ishu?
 
hao ndo wanyaume rose
ukitaka wa kwako muumbe mwenyewe

mi naomba kuuliza hizo kawajaza akiwa anaishi na Rose ama? kama ndivyo basi ni too much sidhani kama hata wanamiaka mitano pamoja tayar katia mimba wawili je wakifikisha miaka kumi si atakuwa amefikisha mimba kumi haaa!
halafu mtu anayetiaje mimba kwa kasi hivyo jamani condom zote hizi madukani zimejaa tele...
 
kipindi yuko na rose ndo alikua anakitembezs hvyo
yaani haogop hta ngoma
 
Amejifunza huyo Rose....huyo mwanaume hana cha kujifunza maana ndo tabia yake inaelekea.

Si kakimbilia ndoa??ndo avumilie maana sio vita hyo

ndio huyo rose mtoto wa pili kwa bwwana mwingine
and this is karma
anajua alivyotenganisha ndoa ya mtu na mimba yake ya mwanzo
 
Sijaelewa....huyu bwana bandawe kazaa na Rose watoto wawili o??au huko nje kapiga phumbu mademu wawili na wote kawapa mimba.
 
kapiga pumbu kwa milupo mingine nje
ndo bi ndauka kachukia kaondoka kaona hapa mzigo kwangu mitoto mingine miwili kwa mama wengine
halafu kuonyesha haogopi madobe huyu mshkaji we mimba mbili kwa mpigo sio bwana!!
 
Msanii wa bongo movies Rose Ndauka amerudi kwa mama yake kigogo baada ya kugundua mchumba wake aliyekuwa anaishi naye na baba wa mtoto,kuwajaza mimba wanawake wawili tofauti.

Mchumba huyo Malick Bandawe amewajaza mimba wanawake hao mimba na tayari wamejifungua.Baada ya kugundua ilo Msanii Rose Ndauka akafungasha virago na kurudi kwao.

Zawadi hio
 
Attachments

  • 1412346171970.jpg
    1412346171970.jpg
    27.1 KB · Views: 1,482
neno hilooo
na dini kabadili kuffata mume si mume si hawara

Rose hajabadili dini kwani toka akiwa mdogo alikuwa ni muislam na jina lake la udogo ni Aisha na hata madrasa amesoma.yeye anaweza kukaa upande wowote as babake ni mkristo na mamake ni muislam
 
okey nimekupat
 
Back
Top Bottom