miss strong
JF-Expert Member
- Jul 4, 2012
- 7,012
- 3,700
Rose hajabadili dini kwani toka akiwa mdogo alikuwa ni muislam na jina lake la udogo ni Aisha na hata madrasa amesoma.yeye anaweza kukaa upande wowote as babake ni mkristo na mamake ni muislam
ndio huyo rose mtoto wa pili kwa bwwana mwingine
and this is karma
anajua alivyotenganisha ndoa ya mtu na mimba yake ya mwanzo
Yaan Ndauka ana watoto wawili au???
Ndauka ana mtoto mmoja ila bwanake malick kawapa mimba wanawake wengine wawili na wameshajifungua so mwanaume ana watoto wa 3 kwa mpigo...
Kweli sanaa hailipi,kwahiyo msanii mkubwa kama ndauka karudi kwa mama hata kupanga chumba ishu?
Ndauka ana mtoto mmoja ila bwanake malick kawapa mimba wanawake wengine wawili na wameshajifungua so mwanaume ana watoto wa 3 kwa mpigo...
hivi kwa nini upange wakati nyumba ipo...walahi na mimi home sichomoki hata wakiniletea polisi...
naona anataka kuijaza dunia hii peke yake.....
sanaa inamlipa wema tu na kajala.that's the reality ...kwikwiKweli sanaa hailipi,kwahiyo msanii mkubwa kama ndauka karudi kwa mama hata kupanga chumba ishu?
hivi kwa nini upange wakati nyumba ipo...walahi na mimi home sichomoki hata wakiniletea polisi...
Eeeeeee kaua ndege wawili kwa jiwe mojaaaa
Eeeeeee kaua ndege wawili kwa jiwe mojaaaa
naona anataka kuijaza dunia hii peke yake.....
Yaan Ndauka ana watoto wawili au???
ndauka ana watoto wawl mmoja alizaa na daniel basila km sikosei tena wa kiume anakaribia miaka nane asa hv mpaka huyu mbaba katengana na mkewe sababu ya rose mkewe nae anaimba inji
Hatari...ee Mungu niepushie mimi mwanaume wa dizaini hiyo...
ndauka ana watoto wawl mmoja alizaa na daniel basila km sikosei tena wa kiume anakaribia miaka nane asa hv mpaka huyu mbaba katengana na mkewe sababu ya rose mkewe nae anaimba inji
Bora asiwazalishe etiii