Mabwakuuu kumbeee mi nilijuaga Rose ana mtoto mmoja tu,ila haina shida watoto ni wazuri hakuna ubayaa ajitahid awalee tuu
Aiseee,ana laana za wanawake wenzie huyu
kwa nini?
kwa nini?
Au akate mgomba auweke ndani....ndoa wanaifanyia majaribio??Hao wanasayansi wenyewe wameshindwa....akakae huko kigogo asubirie panya road basiiiiii wamshughulikie.
hivi kwa nini upange wakati nyumba ipo...walahi na mimi home sichomoki hata wakiniletea polisi...
Ndege wa3,huyo rose tokea ajifungue ana muda gani?si juzi tu hapa alitoka kwenye harobaini?
Chezea TNG squad? Bongo dot com!! Pole ndauka huyo ndio kidume kususa hakusaidii rudi home kwako ukachapwe nao maisha yaendelee ukitaka wa kwako muumbe mwenyewe wanawake kila siku wazuri wanakuja wateke wateke shata shata masham msham nhiiiaaaa nhiiiaaaaa.
Alivyowaliza wanawake wenzie...
Mbona umetoa maneno makali sana kwa mwaBeijing mwenzio?
Harobaini = Arobaini
mbona Ndauka nikimwona kwa nje namuona atakua mtamu sana!" .......... jamaa alikua anatafuta nini nje?
au ndio yale yaleee nyumba self container ndani choo cha shimo!"
Grand PA