Rose ndauka arudi kwao baada ya mchumba wake kuwajaza mimba wanawake 2 tofauti

Rose ndauka arudi kwao baada ya mchumba wake kuwajaza mimba wanawake 2 tofauti

mbona Ndauka nikimwona kwa nje namuona atakua mtamu sana!" .......... jamaa alikua anatafuta nini nje?

au ndio yale yaleee nyumba self container ndani choo cha shimo!"

Grand PA
 
Chezea TNG squad? Bongo dot com!! Pole ndauka huyo ndio kidume kususa hakusaidii rudi home kwako ukachapwe nao maisha yaendelee ukitaka wa kwako muumbe mwenyewe wanawake kila siku wazuri wanakuja wateke wateke shata shata masham msham nhiiiaaaa nhiiiaaaaa.
 
Wanaume wengine sio kabisa.Pole sana Ndauka utapata watu kama mimi tunaojua maana ya kupenda
 
Au akate mgomba auweke ndani....ndoa wanaifanyia majaribio??Hao wanasayansi wenyewe wameshindwa....akakae huko kigogo asubirie panya road basiiiiii wamshughulikie.

Mbona umetoa maneno makali sana kwa mwaBeijing mwenzio?
 
ROSE.jpg
 
Huyu Rose vipi? Badala ya kusema "na mimi sikubali lazima unipige mimba" yeye anaamua kukimbia? Siku akirudi, anakuta mimba nyingine ya tatu.
 
Chezea TNG squad? Bongo dot com!! Pole ndauka huyo ndio kidume kususa hakusaidii rudi home kwako ukachapwe nao maisha yaendelee ukitaka wa kwako muumbe mwenyewe wanawake kila siku wazuri wanakuja wateke wateke shata shata masham msham nhiiiaaaa nhiiiaaaaa.

Lmao...we ni shida nyingine ..I can't you kwakweli!
 
mbona Ndauka nikimwona kwa nje namuona atakua mtamu sana!" .......... jamaa alikua anatafuta nini nje?

au ndio yale yaleee nyumba self container ndani choo cha shimo!"

Grand PA

haya mambo yanachanganya sana
 
HUU UTAMADUNI WA MAISHA BINAFSI KUYAFANYA KUWA YA KITAIFA HAYA NDIO MATOKEO YAKE.
UMEPATA MCHUMBA/MUME/BUZI/MLUPO/MCHEPUKO ,n.k , n.k, n.k....KAA KIMYA NA MAISHA YAKO.FURAHA NA KARAHA ZITAKUWA KWAKO!
 
Back
Top Bottom