Rose Ndauka: Sifagilii tena Wanaume

Rose Ndauka: Sifagilii tena Wanaume

warumi

R I P
Joined
May 6, 2013
Posts
16,218
Reaction score
18,440
STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka amesema kuwa kwa sasa yupo bize na malezi ya mwanaye hivyo hana mpango wa kuwa na mwanaume yeyote hata awe pedeshee mwenye uwezo wa fedha kiasi gani kwani mwenyewe anajitosheleza.

Akipiga stori na paparazi wetu alisema , kipindi hiki hafagilii kabisa mambo ya mabwana na wala hahitaji mapedeshee kwa kuwa yeye mwenyewe ana uwezo wa kujitosheleza kifedha. "Mimi sina bwana kwa sasa na wala sihitaji hao mapedeshee , watanisaidia nini wakati nafanya kazi zangu zinazoweza kuniingizia fedha , nina akili timamu, nina miguu na nina macho sasa kwa nini nitegemee pesa ya mtu?" alihoji Rose. Kwa mara ya kwanza.
 
Anasema tuuu hapo akitafutwa na mkongo atakimbia hata na kusahau kuvaa chupii kabisaaaaa
 
Mleta mada mwambie na siye hatumfagilii...kwa kuwa tumeshamzalisha...kwa hiyo ladha hana...
 
aaah jamani ndauka ni mzuri kuliko star yoyote bongo
 
Back
Top Bottom