Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
aaah jamani ndauka ni mzuri kuliko star yoyote bongo
We acha kujitoa ufahamu hujamwona wema sepetu.
Yan wewe binamu msukuma wako unavyomuonea, mpaka sasa ivi uko macho, huu sio umbea binamu
Ndo useme sasa kizuri nini?
Aseme yeye mbeba pochi wa wema
Wema ana bichwa kama mtungi wa gas, komwe kama mimba ya numbu
Haha makubwa,Kumbe ukizaloshwa ladha inapungua??! 😉
Haha makubwa,Kumbe ukizaloshwa ladha inapungua??! 😉
Siku izi shoga ako ana mihela hatar, ndomo akaoge, anapenda watoto wazuri halafu analeta ubahiri, apo hakuna Ndoa wala bakuli
Ndauka wa ukweli bhana, ningeipata mimi ile skin colour yake na reception mbona ningeringa!!! Lol