Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
nimewekwa ndani kinyumba mwaya,unapopata shikilia
Aiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii weraaa weraaaaaaa na hawa wanaume ukimpata wa hivyo hujamroga shukuruuuuu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
nimewekwa ndani kinyumba mwaya,unapopata shikilia
Eeey eeeh kigeugeu
Wadada wa bongo movie wakikosaga wakuwapa hata offer ya soda wanaanzaga kujisemelesha hawataki wanaume kumbe soko ndio hawana
Ukiona hivyo ujue anasaka bwana
Hapo anajifanyisha tuuu shida zimemjaa teleeee
STAA wa filamu Bongo, Rose Ndauka amesema kuwa kwa sasa yupo bize na malezi ya mwanaye hivyo hana mpango wa kuwa na mwanaume yeyote hata awe pedeshee mwenye uwezo wa fedha kiasi gani kwani mwenyewe anajitosheleza.
geor davie Akipiga stori na paparazi wetu alisema , kipindi hiki hafagilii kabisa mambo ya mabwana na wala hahitaji mapedeshee kwa kuwa yeye mwenyewe ana uwezo wa kujitosheleza kifedha. Mimi sina bwana kwa sasa na wala sihitaji hao mapedeshee , watanisaidia nini wakati nafanya kazi zangu zinazoweza kuniingizia fedha , nina akili timamu, nina miguu na nina macho sasa kwa nini nitegemee pesa ya mtu? alihoji Rose. Kwa mara ya kwanza.
Rose ni mzuri natural kuliko hata mama ubaya, sema mama ubaya kawazidi wenzie maswaga ya kufa mtu, wema ana swaga anajua kujibeba
Tupishe na wema wako hapaaaa mfyuuu
Ana macho mazuri na ta.......ko
Vizuri mrembo
eti ana miguu, mikono sijui nini, kwani mwanzoni hakuwa navyo???
Anasema tuuu hapo akitafutwa na mkongo atakimbia hata na kusahau kuvaa chupii kabisaaaaa
akivaa chupa anaeza akabadili mawazo zoezi likabadilika
yaa
yule demu mkaree jamani tuacheni masikhara
Ana macho mazuri na ta.......ko
Kuna kile kisauti chake kwenye movie akiongea kwa mahaba,mtoto hanyi yuleyaa
yule demu mkaree jamani tuacheni masikhara
Daah mkuu unamlinganisha na wazungu nini, rose kwa bongo ni flat screen sema ana reception nzuri, au uliona picha amejaladia matambala?