Dejane
JF-Expert Member
- Jan 1, 2014
- 50,587
- 71,492
Tena atupishe kabisaaa
Tena apite hiviii^^^^^^^^^^^¶
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tena atupishe kabisaaa
Kuna kile kisauti chake kwenye movie akiongea kwa mahaba,mtoto hanyi yule
Hujawah pata demu mkali wewe etiii!!!!!
Daah mkuu unamlinganisha na wazungu nini, rose kwa bongo ni flat screen sema ana reception nzuri, au uliona picha amejaladia matambala?
Nimewahi ila ndauka mzuri bhana
Ndauka wa ukweli bhana, ningeipata mimi ile skin colour yake na reception mbona ningeringa!!! Lol
mbona hata we mrembo sana
Utani mwingine sio mzuri ujue! Tet!Teh!
Rose ni mzuri natural kuliko hata mama ubaya, sema mama ubaya kawazidi wenzie maswaga ya kufa mtu, wema ana swaga anajua kujibeba
Anasema tuuu hapo akitafutwa na mkongo atakimbia hata na kusahau kuvaa chupii kabisaaaaa
Warumi uko sahihi kabisa...penye ukweli tuseme jamani...wema anajua kuvaa ni fashionista wa ukweli lakini huyo rose ndauka sijamuonaga akipendeza..kwanza mawigi yake naona ni yale ya elfu 7...anaweza akavaa kigauni kizuri hatari ukiona kiatu sasa....kibaya hatariii.
Mleta mada mwambie na siye hatumfagilii...kwa kuwa tumeshamzalisha...kwa hiyo ladha hana...
Hhhhhaaaaa na lile pozi lake la nyonyo wazii utamtakaa
Viol bhana.....usinifanye nijicheke mwenyewe!Siyo utani ni kweli figure yako naikubali sana .
Hahahaaaa hajielewagi kwa kweli...namuonaga mchafu mchafu tu ndio maana sishangai alivyokua bibi sasa hajui kujitunza
Warumi uko sahihi kabisa...penye ukweli tuseme jamani...wema anajua kuvaa ni fashionista wa ukweli lakini huyo rose ndauka sijamuonaga akipendeza..kwanza mawigi yake naona ni yale ya elfu 7...anaweza akavaa kigauni kizuri hatari ukiona kiatu sasa....kibaya hatariii.
Hivi huwa inakuwaje jamani.....unakuta mdada/mama mzuriiiii lakini yukoyuko tu hata hajitambui/hajijali!