Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,118
- 16,485
Hivi yeye mwenyewe huyu huwa ana shughuli gani rasmi hapa duniani ukiondoa hii ya MSEMAJI WA FAMILIA zisizomhusu?Kumbe familia ndo imemsihi daah mzee wa fursa keshatudanganya kuwa yeye ndo kambembeleza muna akubali misiba uwe kwa bwana Peter
View attachment 803208
hahahahahahaHawa kama wana laana..Sugu naye anapata shida na mzazi mwenzie..Faiza..kashindwa kuchukua mtoto wake..bongo movie ni pasua kichwa
FAIZA ALIWAHI SEMA kuwa anaogopa mtoto kukaa na sugu kuwa atamlawiti
Vichwa vya hawa bongo movie walio fulia ni pasua kichwa maana mtoto anageuzwa kama asset kwa baba mzazi
Hivi yeye mwenyewe huyu huwa ana shughuli gani rasmi hapa duniani ukiondoa hii ya MSEMAJI WA FAMILIA zisizomhusu?
KuwadiHivi yeye mwenyewe huyu huwa ana shughuli gani rasmi hapa duniani ukiondoa hii ya MSEMAJI WA FAMILIA zisizomhusu?
Sasa Casto ulitaka afanyeje labda na ili iweje!wakati yule mtu alikua kaolewa...Huyo Casto SI MTOA mbegu bali alikuwa ana saidia tuuu kama angelikuwa mtoa mbengu basi pasingelikalika na pia angekuwa anatoa huduma..
Mwenye mtoto ameshajulikana.....
Kila msiba wa msanii Steve nyerere yupo!! Huyu jamaa noma
Mfiwa anapitia comments insta na kuzijibu hahahahah
Aise kazi ipoKaka uko mjini hapa hapa au...[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] pole sana!!!uliza watoto wa mjini!sema Irene kaamua kukomaa na huyo huyo!
Mtafute dude wa bongo daslam atakuambia baba wa mtoto
Haaaa[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] ukuwadisionUkuwadi
Zamani nilikuwa namchukulia powa huyu mtu lakini sivyo alivyo nilikuwa najidanganya mwenyewe.Hivi yeye mwenyewe huyu huwa ana shughuli gani rasmi hapa duniani ukiondoa hii ya MSEMAJI WA FAMILIA zisizomhusu?
Haka kajamaa kasipewe fursa ya kukusanya rambirambi ni kapigajiHahaha huyu Steve........daaaaah!!
huyo si mwanamke,ni shetani!!shetani hasaa..Aiseee hivi umefiwa Na mwanao unapata wapi nguvu ya kupost insta Na kusoma comments!
wanawake wa Siku hizi ......
Aisee..Zamani nilikuwa namchukulia powa huyu mtu lakini sivyo alivyo nilikuwa najidanganya mwenyewe.
Kuna watu duniani wamezaliwa na vipaji maalum hata ukitaka kukutana na Rais wapo watu wapo nje ya serikali wanaweza kukufanyia booking na Rais lakini mtumishi wa ikulu akashindwa.
Huyu Steve baada ya mimi mwenyewe binafsi kutokana na shughuli zangu nimeweza kumjuwa japo kidogo, ilikuwa lazima tuonane na kuzungumza.
Huyu Steve tangu enzi za JK ana access na wakuu wa nchi na kwa sasa ana direct access kwa makamu wa Rais.
Huyu Steve licha ya kwamba gari si mafanikio lakini anatembelea Toyota Prado Tx ya kisasa kabisa na ana dereva.
Huyu huyu Steve kuna mibaba mizima tena walikuwa masustaa wakweli yeye ndio mwenyekiti wao kwenye Uzalendo kwanza, hili ni kundi la watu maarufu kupiga pesa za serikali inayopenda kusifiwa.
Usisahau kwenye hilo kundi wapo Mohammed Hussein Mmachinga, Steven Nemes, Mtwa Kiwelu, Chama Jogoo, Makumbi Juma, Madaraka Suleiman na wengine wengi waliowika kwenye soka la bongo na wasanii wa Bongo Movie lakini ujuwe mwenyekiti wao na founder wa hilo group ni Steve Nyerere.
Kama nia yako tu ni kumjuwa mtu huyu nadhani utakuwa umekiona kitu ndani ya mtu huyu, na nimemshuhudia kwa macho hawa mastaa wote anawamudu na anawagombeza wakizinguwa.
Ningekuwa na mamlaka pale UDSM ningempa degree ya heshima huyu dogo.
Kwenye harusi ndio usiseme kuna harusi moja ya kitajili itafanyika hivi karibuni nimealikwa kikao cha maandalizi mwenyekiti Jack Ghotham, makamu ni huyuhuyu Steve, na bwana harusi ni wale watu wenye shilling yao hapa mjini.
Kwa uchache huyo ndio Steve, ukisikia mtaani kwenu watu wanamsema fulani magari yake ni ya kuazima waambie na wao wakaazime basi kama wataaminiwa kupewa.
Ndio watanzania hao a.k.a wabongoAliyeturoga anafurahi huko aliko.......trending story ni kufariki kwa mtoto wa Muna na baba halisi wa mtoto wala hakuna anayejali kupanda kwa bei ya mafuta.
Mkuu ni kweli kbs ,Steve ana nguvu ya ushawishi ,binafsi namuheshimu huyu jamaa ,yote usemayo ni kweli tupuZamani nilikuwa namchukulia powa huyu mtu lakini sivyo alivyo nilikuwa najidanganya mwenyewe.
Kuna watu duniani wamezaliwa na vipaji maalum hata ukitaka kukutana na Rais wapo watu wapo nje ya serikali wanaweza kukufanyia booking na Rais lakini mtumishi wa ikulu akashindwa.
Huyu Steve baada ya mimi mwenyewe binafsi kutokana na shughuli zangu nimeweza kumjuwa japo kidogo, ilikuwa lazima tuonane na kuzungumza.
Huyu Steve tangu enzi za JK ana access na wakuu wa nchi na kwa sasa ana direct access kwa makamu wa Rais.
Huyu Steve licha ya kwamba gari si mafanikio lakini anatembelea Toyota Prado Tx ya kisasa kabisa na ana dereva.
Huyu huyu Steve kuna mibaba mizima tena walikuwa masustaa wakweli yeye ndio mwenyekiti wao kwenye Uzalendo kwanza, hili ni kundi la watu maarufu kupiga pesa za serikali inayopenda kusifiwa.
Usisahau kwenye hilo kundi wapo Mohammed Hussein Mmachinga, Steven Nemes, Mtwa Kiwelu, Chama Jogoo, Makumbi Juma, Madaraka Suleiman na wengine wengi waliowika kwenye soka la bongo na wasanii wa Bongo Movie lakini ujuwe mwenyekiti wao na founder wa hilo group ni Steve Nyerere.
Kama nia yako tu ni kumjuwa mtu huyu nadhani utakuwa umekiona kitu ndani ya mtu huyu, na nimemshuhudia kwa macho hawa mastaa wote anawamudu na anawagombeza wakizinguwa.
Ningekuwa na mamlaka pale UDSM ningempa degree ya heshima huyu dogo.
Kwenye harusi ndio usiseme kuna harusi moja ya kitajili itafanyika hivi karibuni nimealikwa kikao cha maandalizi mwenyekiti Jack Ghotham, makamu ni huyuhuyu Steve, na bwana harusi ni wale watu wenye shilling yao hapa mjini.
Kwa uchache huyo ndio Steve, ukisikia mtaani kwenu watu wanamsema fulani magari yake ni ya kuazima waambie na wao wakaazime basi kama wataaminiwa kupewa.
Mkuu ni kweli usemayo,asiye mjua Steve atamuona mizinguo lkn jamaa ana nguvu ya ushawishi mno ,binafsi nishakaa nae sana ktk vikao vyake kipindi anashinda pale contena kwa rasta ,jamaa karibu watu wazito wote wanamsikiliza yeyeZamani nilikuwa namchukulia powa huyu mtu lakini sivyo alivyo nilikuwa najidanganya mwenyewe.
Kuna watu duniani wamezaliwa na vipaji maalum hata ukitaka kukutana na Rais wapo watu wapo nje ya serikali wanaweza kukufanyia booking na Rais lakini mtumishi wa ikulu akashindwa.
Huyu Steve baada ya mimi mwenyewe binafsi kutokana na shughuli zangu nimeweza kumjuwa japo kidogo, ilikuwa lazima tuonane na kuzungumza.
Huyu Steve tangu enzi za JK ana access na wakuu wa nchi na kwa sasa ana direct access kwa makamu wa Rais.
Huyu Steve licha ya kwamba gari si mafanikio lakini anatembelea Toyota Prado Tx ya kisasa kabisa na ana dereva.
Huyu huyu Steve kuna mibaba mizima tena walikuwa masustaa wakweli yeye ndio mwenyekiti wao kwenye Uzalendo kwanza, hili ni kundi la watu maarufu kupiga pesa za serikali inayopenda kusifiwa.
Usisahau kwenye hilo kundi wapo Mohammed Hussein Mmachinga, Steven Nemes, Mtwa Kiwelu, Chama Jogoo, Makumbi Juma, Madaraka Suleiman na wengine wengi waliowika kwenye soka la bongo na wasanii wa Bongo Movie lakini ujuwe mwenyekiti wao na founder wa hilo group ni Steve Nyerere.
Kama nia yako tu ni kumjuwa mtu huyu nadhani utakuwa umekiona kitu ndani ya mtu huyu, na nimemshuhudia kwa macho hawa mastaa wote anawamudu na anawagombeza wakizinguwa.
Ningekuwa na mamlaka pale UDSM ningempa degree ya heshima huyu dogo.
Kwenye harusi ndio usiseme kuna harusi moja ya kitajili itafanyika hivi karibuni nimealikwa kikao cha maandalizi mwenyekiti Jack Ghotham, makamu ni huyuhuyu Steve, na bwana harusi ni wale watu wenye shilling yao hapa mjini.
Kwa uchache huyo ndio Steve, ukisikia mtaani kwenu watu wanamsema fulani magari yake ni ya kuazima waambie na wao wakaazime basi kama wataaminiwa kupewa.
sijakuelewa mkuu hebu dadavua vizuri maana nimetoka kapaMkuu kuna wengine wanazimia huku vitambaa wameviningania mkononi..kitu ambacho physiologically hakiwezekani
Hahahaha ! Mshana njoo hukuShetani anasingiziwa mengi! Kwanza kulingana na ratiba aliyonayo Mshana Jr shetani hakuwa maeneo ya Nairobi wiki hii. Sasa alimpitia saa ngapi?