TANZIA Rose Nyerere, Mtoto wa Mwisho wa J.K Nyerere afariki dunia

Mme wake alishafariki,alikua anafanya kazi Tanesco,watoto ndiyo anao!! She was very humble,very cool,she was kama sio mtoto wa Nyerere, No makeke kabisa kama kina Rizimoko
Mike wake aliitwa David Mwamakula alikuwa ni Mhasibu Tanesco HQ na waliishi Keko NHCila wakati anafariki walisha tengana kitambo.
 
RIP Rose, sikuwahi kumsikia katika harakati zozote. Familia ipo simple, tulivu sana.
Alikuwa mhadhiri na mbunge viti maalum mkoa wa mara nadani 2005-2010
 
Siwezi acha kwenda,huyu Mama ana mchango mkubwa sana kwenye maisha yangu, ngoja nipate ratiba ya msiba,nikapige story pia na Makongoro(Mako) Na msaidizi wa Bibi Nyerere ,Anaitwa Aisha
Ufanye mapema kabla msiba haujapelekwa Mwitongo kwa mazishi.
 
BEWARE: THE ABOVE IS FAKE NEWS. BEWARE: THE ABOVE IS FAKE NEWS. BEWARE: THE ABOVE IS FAKE NEWS. BEWARE: THE ABOVE IS FAKE NEWS. BEWARE: THE ABOVE IS FAKE NEWS. BEWARE: THE ABOVE IS FAKE NEWS.
 
mbona pia riz yupo humble hana mambo men

Kilicho chomwa pale ni mwili sio roho, kumbuka sana hilo.
imani/imini = kukubali kuwepo (existence) bila uthibitisho wowote. Wanadini wanaamini juu ya kuwepo kwa Yesu/Mtume Muhammad/Mungu bila uthibitisho wa kuonyesha kweli wahusika wapo. Hii pia ndiyo inayotumika kuhusu kuwepo uchawi, ushirikina, na yale yote yahusikayo. Imani ni jambo la binafsi. Mara nyingi watu hudhani kuwa kwa sababu misikiti, makanisa yanajaza watu, wote hao ni waumini. Hii siyo kweli, kwa sababu kuwa muumini ni lazima utimize masharti uumini. Jinsi sisi binadamu tulivyo wabinafsi, mafuska, wezi, majivuno, wenye wivu, mafisadi, mara nyingi waliyokuwa kwenye nyumba zetu za ibada huenda ni 10% tu ndiyo waumini wa kweli.
 
Mme wake alishafariki,alikua anafanya kazi Tanesco,watoto ndiyo anao!! She was very humble,very cool,she was kama sio mtoto wa Nyerere, No makeke kabisa kama kina Rizimoko
Nilikutana naye siku moja kwenye daladala kituo cha Palm Beach anaenda mjini.

Kasimama kwenye daladala hata seat hajapata, halafu mwenyewe katulia tu, watu hawamjui huyu mtoto wa Nyerere, na yeye kashika hamsini zake.

Nikasema anaishi kama Mtanzania wa kawaida tu.

RIP.
 
Mtoto WA baba WA taifa amefia Dispensary alipolazwa kwa muda mrefu.

Nilimfundisha mwanae miaka ya nyuma kidogo maisha ya huyu mtoto WA Nyerere yalikuwa ya chini sana sana.

si alikuwaga mbunge viti maalumu huyu
 
Kikwete atakuwa msibani?

Kikwete atakwenda kumpa pole mama Maria kwani Mwalimu alimlea sana!!! Hata hivyo Kikwete kwenye mambo ya misiba ya watu aliowafahamu huwa hakosi akipata nafasi; juzi nilimuona kwenye msiba wa Costa Ndunguru [ former classmate wake]!
 
Manyerere ni nani katika Familia ya Mwalimu ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…