TANZIA Rose Nyerere, Mtoto wa Mwisho wa J.K Nyerere afariki dunia

TANZIA Rose Nyerere, Mtoto wa Mwisho wa J.K Nyerere afariki dunia

Familia ya Mwalim haipewi uzito inaostahili. R.I.P Rose

msiilaumu serikali, huyu Rose alisoma chuo kikuu ulaya ,hii ilimtosha kufanya kazi sehemu nzuri tu, inaonesha wao wenyewe hawakutaka kufanya kazi labda, ila hata hivo kuna aliyekuwa rubani
 
Corona tumeiua kwa maombi na haipo nchini. Nasema uongo ndugu zangu!!
Tushukuru sana ndugu zetu Kenya pamoja na tahadhari zote bado hadi marubani wao wanateketea tu na madaktari.
 
Pole Sana kwa msiba familia ya Baba wa Taifa Mwl. JK Nyerere.
 
Mme wake alishafariki,alikua anafanya kazi Tanesco,watoto ndiyo anao!! She was very humble,very cool,she was kama sio mtoto wa Nyerere, No makeke kabisa kama kina Rizimoko

mbona pia riz yupo humble hana mambo mengi,
 
Baba wa Taifa aliijenga familia yake katika maadili harisi ya Kiafrika hata picha inaonyesha hopes na Dr Magufuli yuko hivi hivi. R.I.P Mzalendo
 
Mnapenda sana kulaumu, unajua alikuwa anauguzwa na nani. Unaijua hiyo hospital aliyokuwa amelazwa iko wapi?
 
Hiyo MZENA hospital ina madactari bingwa kweli?
Viongozi wote wa nchii ndiyo siku zote wanatibiwa hapo na hospital hiyo inavifaa vya kisasa na mazingira yake si mchezo
Na hapo wapo madaktari wazuri tu
Narudia tena kiongozi yoyote nchi lazima ataenda kutibiwa hapo sema kutokana na mazingira yalipo huwezi ona picha picha
Ila siyo kama najimwambafay nimebahatika kuingia hapo kuna baba wa jamaa yangu mmja alikuwaga boss mkubw T-- tulienda usiku kumtembelea hospital si mchezo hutaamini kama iko bongo
Sema kama unavyojua kwenye kufa mwanadam lazima afe

Ova
 
Back
Top Bottom