Queen Esther
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 2,206
- 1,464
gugoSource??
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
gugoSource??
Nilidhani una passport ya majirani zetu. Au unayo kweli!? (joke mkuu usihamaki!!!)Kulikuwa kuna haja gani ya kutaja Jina la Hospitali?
Nenda msibani sasa.Sana, na alikua anasaidia sana watu,niliwahi kwenda kwake,Upanga huko,Loan Board walikua wanazingua,akanipeleka kwa Mwenyekiti wa Loan Board enzi hizo alikua Nimrord Mkono,Mkono akapiga simu tukaenda kwa Mkurugenzi wa HESLB,tukaenda hadi kule,siku hiyo hiyo mkopo wangu ukawa fresh,nikaambiwa baada ya siku tano mzigo utajaa! Kweli bwana,ilikua jumanne,ijumaa mzigo huo! Mother was very humble,na still akanipa number yake,na bado akanipa na pesa kidogo kabla ya mzigo wa bodi hujazama
mtu akifa ukitaja hospital huwa inasaidia nini hasa?Siku zote hospitali zimekua zikitajwa. Sijawahi kuona taarifa ikisema mtu amefariki baada ya kulazwa hospitali kwa muda bila kutaja jina la hospitali. Mleta taarifa hajakosea lolote, ingekua kosa kama angetaja ugonjwa. Umri wako ukiongezeka utajua hilo ni jambo la kawaida.
Huyo mdau aliyecomment, alitaja wawili nazani huyo john na Andrew, hii thread imeshaingiliwa tayari naona kuna kitu kinafichwa.Alikuwa member humu na alikuwa anaandika vitu havieleweki, Mimi nafahamu John Yule wa England ndiye RIP
Angalia hiyo ni ya mwaka gani?Kuna thread nyingine humu pia imemtaja JOHN NYERERE kuwa amefariki dunia Muhimbili na kuwa kaka yake Madaraka Nyerere amethibitisha kifo hicho. Ndio kusema watoto wawili wa Mwl. Nyerere wamefariki wakati mmoja au ni misinformation mahali?
Pole sana mkuu,Sana, na alikua anasaidia sana watu,niliwahi kwenda kwake,Upanga huko,Loan Board walikua wanazingua,akanipeleka kwa Mwenyekiti wa Loan Board enzi hizo alikua Nimrord Mkono,Mkono akapiga simu tukaenda kwa Mkurugenzi wa HESLB,tukaenda hadi kule,siku hiyo hiyo mkopo wangu ukawa fresh,nikaambiwa baada ya siku tano mzigo utajaa! Kweli bwana,ilikua jumanne,ijumaa mzigo huo! Mother was very humble,na still akanipa number yake,na bado akanipa na pesa kidogo kabla ya mzigo wa bodi hujazama
Daa kumbe ndio ww ulikuja siku ile? Halafu una kumbukumbu!Sana, na alikua anasaidia sana watu,niliwahi kwenda kwake,Upanga huko,Loan Board walikua wanazingua,akanipeleka kwa Mwenyekiti wa Loan Board enzi hizo alikua Nimrord Mkono,Mkono akapiga simu tukaenda kwa Mkurugenzi wa HESLB,tukaenda hadi kule,siku hiyo hiyo mkopo wangu ukawa fresh,nikaambiwa baada ya siku tano mzigo utajaa! Kweli bwana,ilikua jumanne,ijumaa mzigo huo! Mother was very humble,na still akanipa number yake,na bado akanipa na pesa kidogo kabla ya mzigo wa bodi hujazama
Wabongo hua mna matatizo sana kichwani,hakuna anayejali kweni wewe ni mwana familia na hauoni ndugu wote wanajali msiba? Hapa unataka kuja na nyimbo za kulaumu serikali,ifanyeje sasa? Kweni wamesha zika?
Katibiwe Milembe wewe
Kwa muonekano wa picha inaonekana kabla hata ya kuumwa alikuwa anaumwa.
R.i.p rozi.
Huwa ni utaratibu kuonyesha mtu kapata matibabu wapi hadi umauti umempata, ikiwa ni sehemu ya historia ya ugonjwa wa marehemu, kuliko kusema mtu kaugua muda mrefu na usitaje wapi alikua anauguzwa. Na kama kuna list ya hospitals zilizohusika katika matibabu huwa zinatajwa ikiwa ni moja ya kushukuru huduma za kitabibu alizozipata marehemu kabla ya kifo. Ukihudhuria misiba au mazishi hivyo ni vitu vya kawaida kutajwa.mtu akifa ukitaja hospital huwa inasaidia nini hasa?
hakukuwa na sababu kabisa
Mzena aliwahi kuwa mkurugenzi wa TISS, ni miongoni mwa wakurugenzi wa mwanzo kabisa kama siyo wa kwanza baada ya uhuru. Nadhani hii hospital ilipewa jina lake kumuenzi huyu mzee. Kuhusu madaktari bingwa utajiongeza hapo mwenyewe baada ya sasa kuijua hiyo hospital.Hiyo MZENA hospital ina madactari bingwa kweli?