Rose Shirima hana kosa lolote, mwenye Makosa ni James Getogo kuibua makosa ya serikali/mwajiri wake

Rose Shirima hana kosa lolote, mwenye Makosa ni James Getogo kuibua makosa ya serikali/mwajiri wake

Kuna kitu Cha kujifunza apa,na sijui waafrika tumerogwa na Nani,hii Ndo Hali halisi ya maisha ya huko maofsni kwa watu,binafsi sijapendezwa na majibu ya huyo nesi na pia anaonesha ualisia ulivyo hakuna heshima na hajali chochote huyo jamaa naona tu hakufata chaneli husika kufikisha ujumbe lakini walau ujumbe umefika.ukweli usemwe manesi wengi Wana shida kwenye kuwajibu wagonjwa wanawaudumia wajirekeshe na wafate taratibu za taaluma zao kwani ndicho walichogua kwenye maisha yao na kupitia hiyo kazi mungu anawabariki.Wakumbuke Kila mtu Ana nafasi yake ktk maisha ya apa duniani na hakuna kazi nzuri kuliko ulionayo.

Ni kweli wapo manesi wenye Lugha chafu Kwa Wateja Wao(wagonjwa)

Lakini tukirudi kwenye maofisi, migogoro mingi inasababishwa na Baadhi ya wafanyakazi kulazimisha mazoea.

MTU kama hataki mazoea na wewe kwa nini umlazimishe?

Hao wangekuwa na urafiki tangu mwanzo wala hicho kitu kisingetokea, lakini hao wanaume Wawili Kwa harakaharaka ni Aina ya Watu ambao wanapenda ukaribu/mazoea na watu. Sasa wakinyimwa hiyo nafasi ndio huanza kuleta Shida.

Fika ofisini, salimia, kisha endelea na majukumu yanayokuhusu.
Kuna kitu unahitaji Kwa mfanyakazi mwenzako, mfuate mjulie Hali kisha eleza unashida na kitu Fulani, kama hana Rudi, au fuata utaratibu mwingine wa kukipata hicho kifaa.

Sio kuleta mazoea zoea ndio Jambo linafanya watumishi wawe wapiga Stori maofisini.

Angalia hao wanaume Wawili,
Wamemfuata Huyo Muuguzi, Rose, wakaeleza kuwa vipimo vya MRDT Test vime-expire, Rose anaropokwa maneno(sio sahihi) lakini hatujui nini kinasababisha Rose atoe Maneno makali vile kwani video imeanzia katikati,

Haya Rose anataka kumaliza mzozo, anawaambia waende Kwa incharge wanaume hawataki, huoni hiyo picha kuwa walichokuwa wanakitafuta ni ugomvi.
Na ugomvi waliupata, na nihalali Yao kujibiwa vile.
 
Hizo MRDT zina expire mwezi wa nne.. hivyo mkunga Rose alikuwa sahihi kuanza toa mzigo huo..

Mtaalamu wa Maabara amekosa weledi...amekosa Doctors'ethical conduct..amekosa maadili ya kiutumishi ..ametress pass kwenye ofisi ya mwenzake. Yani ana makosa kibaoo .

Adhabu itamuhusu
 
Ni kweli wapo manesi wenye Lugha chafu Kwa Wateja Wao(wagonjwa)

Lakini tukirudi kwenye maofisi, migogoro mingi inasababishwa na Baadhi ya wafanyakazi kulazimisha mazoea.

MTU kama hataki mazoea na wewe kwa nini umlazimishe?

Hao wangekuwa na urafiki tangu mwanzo wala hicho kitu kisingetokea, lakini hao wanaume Wawili Kwa harakaharaka ni Aina ya Watu ambao wanapenda ukaribu/mazoea na watu. Sasa wakinyimwa hiyo nafasi ndio huanza kuleta Shida.

Fika ofisini, salimia, kisha endelea na majukumu yanayokuhusu.
Kuna kitu unahitaji Kwa mfanyakazi mwenzako, mfuate mjulie Hali kisha eleza unashida na kitu Fulani, kama hana Rudi, au fuata utaratibu mwingine wa kukipata hicho kifaa.

Sio kuleta mazoea zoea ndio Jambo linafanya watumishi wawe wapiga Stori maofisini.

Angalia hao wanaume Wawili,
Wamemfuata Huyo Muuguzi, Rose, wakaeleza kuwa vipimo vya MRDT Test vime-expire, Rose anaropokwa maneno(sio sahihi) lakini hatujui nini kinasababisha Rose atoe Maneno makali vile kwani video imeanzia katikati,

Haya Rose anataka kumaliza mzozo, anawaambia waende Kwa incharge wanaume hawataki, huoni hiyo picha kuwa walichokuwa wanakitafuta ni ugomvi.
Na ugomvi waliupata, na nihalali Yao kujibiwa vile.
Kwa mantiki hiyo wote hawana hekima na awapaswi kuwepo kazini mgonjwa ana itaji faraja wale wa kutoa faraja wana toa matusi fani ya uuguzi ni wito
 
Rose atajuaje mzigo umeharibika na yeye sio mtaalamu wa vifaa? mtaalamu wa vifaa ni MTU wa maabara
POINT OF CORRECTION...

Hakuna mzigo ulioharibika .. please. Tuwekane sawa hapo kwanza.
 
Kikawaida Mwanamke au MTU yeyote mwenye nyodo huzionyesha Kwa wanaomzingatia, wanaomfuata fuata.
Wanaotafuta mazoea kinguvu.
MTU kama hataki mazoea na wewe kwani ni lazima uwe na mazoea naye?

Ukiwa ofisini ukiwa MTU wa time zako huwezi gundua tabia za nyodo miongoni mwa wafanyakazi wenzako.

Kumuona MTU ananyodo au anaringa mara nyingi huwatokea Watu wanaojiona Duni.
Mfuate MTU mwambie unachokitaka Kwa mambo ya Ofisi. Hapo akizingua taratibu za kiofisi zinafahamika, na sio muanze mijadala isiyo na maana. Kwani hakuna kiongozi WA KAZI?

Hayo majibu yanawafaa Watu wanaolazimisha mazoea.
This is Soo right my brother.
 
mkuu ma ofisini hawana uwezo wa kutatua changamoto kuambiana jamsi alipeleke huko ni kudanganyana (japo taratibu zinataka hivyo) vipi kwetu ama ndo wale wa kutwambia subiri nimalize kula ndo nije nikusaidie ujifungue

🙏🏾
 
Tunaleta siasa kwenye Afya??? Tz mpqka yuje kiendelea bado sana
 
Hata huyo nesi hawezi pona kwa kauli zile

Anapona TENA mapema Sana.
Labda watumie Siasa. Lakini kiutaratibu kosa lake ni Dogo Sana.
Watu wanapigana maofisini hawafukuzwi kazi sembuse kujibishana/kupishana kauli
 
Hata huyo nesi hawezi pona kwa kauli zile
Kauli haziihusu taasisi wala serikali... Ni personal attack kwa mtumishi mwenzie ambae kama atahisi zilimkwaza anapeleka kwa senior wake tu hapo kwa ofisi linaisha...

Rose aliyerekodiwa je! Akienda mbele!??
 
Huyo MTU anayetoa siri ni Nani? Hiyo ndio Mantiki.
Elewa nilichokiandika,
Kwa hiyo kosa la Rose Shirima hapo ni lipi?

Hapo James Getogo angetafuta Mgonjwa wa kutengeneza ndio afanye alichokifanya, lakini kuifitinisha ofisi unayofanyia kazi sio njia sahihi.
Ukweli unapaswa kufichuliwa kwa njia yoyote. Siyo kwamba uanze kutafuta mgonjwa sijui watu wakati hata wewe unanafasi ya kufichua ukweli na kusaidia jamii.
Mtu anayependa haki na kweli ataifichua haijalishi yeye wala taasisi yake ama mtu yeyote atamwongelea je.
Panapohitaji kufichua madudu haijalishi nitafukuzwa kazi au itakuwaje lazima nitumie nafasi yangu kusaidia watu. Utapata furaha gani na kazi kama unatoa dawa zilizo expire kwa watu? Bora niache kazi kuliko kuangamiza watu wasio na hatia.
 
Serikali imeanza kuruka kimanga

Hapo ndio utajua kuwa unapotaka kutatua Jambo unatakiwa ushirkishe Akili yako vyema.

Sasa hapo James Getogo anakazi ngumu Sana kuliko mwenzake.
Huyo Rose ataonywa tuu lakini hawezi kufukuzwa kazi.

Huwezi tatua tatizo Kwa kuzalisha matatizo zaidi, huo sio utatuzi Bali kuleta matatizo.
 
Msiwe wanafiki kila mtu anajua ukisha kasirishwa huwezi kuwa na majibu ya staha maijifanye leo ndio mnajua sana kuchambua ya wenzenu wakati hata ninyi huko mnako fanyia majukumu yenu mmesha pigizana sana kelele na wenzenu

Kupishana vituo vya kazi ni jambo la kawaida sana ila mshamba na mwenye kosa namba moja ni huyo mrekodi picha hajui maadili ya kazi za umma

Nakuhakikishia huyo dada atatoka salama maana kosa lake lina weza kuepukika kwa TKO ila huyo msela aliye rekodi kama aliamini anamkomoa huyo dada basi hana akili kwa tukio kama hilo yeye ndio kajikaanga vizuri sana na ndiye mwenye kosa kubwa zaid l
[emoji706]
 
Ukweli unapaswa kufichuliwa kwa njia yoyote. Siyo kwamba uanze kutafuta mgonjwa sijui watu wakati hata wewe unanafasi ya kufichua ukweli na kusaidia jamii.
Mtu anayependa haki na kweli ataifichua haijalishi yeye wala taasisi yake ama mtu yeyote atamwongelea je.
Panapohitaji kufichua madudu haijalishi nitafukuzwa kazi au itakuwaje lazima nitumie nafasi yangu kusaidia watu. Utapata furaha gani na kazi kama unatoa dawa zilizo expire kwa watu? Bora niache kazi kuliko kuangamiza watu wasio na hatia.

Unajua hauelewi kilichotokea,
Mtu wa maabara kawasilisha hoja kuwa Vifaa vya MRDT Test vime-expire.
Rose kamuambia Vitumike kwa wajawazito.
James akasema hawezi kuvitumia,
Rose akasema, basi nenda Kwa incharge.
James kakataa kwenda Kwa incharge.
Rose kasema basi usitumie
James akasema vitumie wewe,
Yaani ni majibizano lakini kama vingetumika Muuguzi asingehusika na madhara kwani mhusika wa vipimo ni MTU wa maabara yaani James,

Alichofanya James ni kuibua Makosa ya serikali/mwajiri wake. Na huyo Rose hapo hiyo kesi haitamuumiza sana
 
Kauli haziihusu taasisi wala serikali... Ni personal attack kwa mtumishi mwenzie ambae kama atahisi zilimkwaza anapeleka kwa senior wake tu hapo kwa ofisi linaisha...

Rose aliyerekodiwa je! Akienda mbele!??

Au tufanye Rose anaenda Mahakamani kumshtaki James😂😂
Unafikiri nini kitatokea
 
Back
Top Bottom