roselina john
JF-Expert Member
- Aug 17, 2017
- 758
- 945
Anataka akuibie nyota yako aitumie kujinufaishaNimemkataa mbaba wa central bank na bihela byake,
Ametuma 500,000 tigo pesa nikamrudishia,
Anapiga sipokei aliendelea usumbufu namsemea kwa mkewe,
Alafu mke wake mzuriii sijui anatafta nini kwangu
Am sure ingekuwa gari au nyumba ungewaza tofauti kabisa... Ni mawazo yangu tu lakiniNimemkataa mbaba wa central bank na bihela byake,
Ametuma 500,000 tigo pesa nikamrudishia,
Anapiga sipokei aliendelea usumbufu namsemea kwa mkewe,
Alafu mke wake mzuriii sijui anatafta nini kwangu
Dada mbona unaowakubalia huwa hauji kuwatangaza huku?
I ain't buying this one!
Its something to do with price tag...!go to hell Roselina.....aint buying ur story
Anataka aonjepo. Hongera kwa kusimama imara.Nimemkataa mbaba wa central bank na bihela byake,
Ametuma 500,000 tigo pesa nikamrudishia,
Anapiga sipokei aliendelea usumbufu namsemea kwa mkewe,
Alafu mke wake mzuriii sijui anatafta nini kwangu