Roselina John ,strong woman in Tanzania

Roselina John ,strong woman in Tanzania

Kuna tofauti kubwa Kati ya pesa na upendo, kwasababu Money is the reward after solving somebody problem....
Na kama haumpendi mtu, hata akupe nini... Jibu litabakia kwamba haumpendi.
Na kama haumpendi na Kisha ukakubali kuchukua pesa yake, Basi hiyo ni tamaa na unaweza ukwa umefuzu sifa za kuitwa mwizi.
 
Isijekuwa wakati muamala wa Pedeshee unaingia bwana wako ndio akawa mtu wa kwanza kusoma Ujumbe kwenye simu yako...
Kutokana na mambo kuwa moto ukaamua kuua soo ikabidi urudishe mkwanja.

Nitakutumia 10k nione kama utarudisha nakuja PM
 
Haha haha haha czan kama hii story inaukwel
 
Hongera mwaya, achana na wanaikubeza. Keep it up!

Umeolewa?
 
Nimemkataa mbaba wa central bank na bihela byake,
Ametuma 500,000 tigo pesa nikamrudishia,
Anapiga sipokei aliendelea usumbufu namsemea kwa mkewe,

Alafu mke wake mzuriii sijui anatafta nini kwangu
Am sure ingekuwa gari au nyumba ungewaza tofauti kabisa... Ni mawazo yangu tu lakini
 
Nimemkataa mbaba wa central bank na bihela byake,
Ametuma 500,000 tigo pesa nikamrudishia,
Anapiga sipokei aliendelea usumbufu namsemea kwa mkewe,

Alafu mke wake mzuriii sijui anatafta nini kwangu
Anataka aonjepo. Hongera kwa kusimama imara.
 
Back
Top Bottom