Roselina John ,strong woman in Tanzania

Roselina John ,strong woman in Tanzania

Nimemkataa mbaba wa central bank na bihela byake,
Ametuma 500,000 tigo pesa nikamrudishia,
Anapiga sipokei aliendelea usumbufu namsemea kwa mkewe,

Alafu mke wake mzuriii sijui anatafta nini kwangu
Hii mbn imekaa kama vile unatafuta kiki! Unaowakubalia huwa unatangaza pia!
 
Tego hilo mkiriingia mtaishia kuokotwa kwenye viloba huko coco beach.
 
strong woman huwa hajitangazi..

otherwise uwe umelenga kuchota watu humu [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Ulishafika Dar tayari?
Kazi nayo ulipata?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] itakua keshafika Dar huyu.
 
Au ni ndogo ukifikiri huyo ni ofisa wa bot....ulitaka akununulie vtz kwanza??!!
 
Nimemkataa mbaba wa central bank na bihela byake,
Ametuma 500,000 tigo pesa nikamrudishia,
Anapiga sipokei aliendelea usumbufu namsemea kwa mkewe,

Alafu mke wake mzuriii sijui anatafta nini kwangu
Kumkataa mtu na pesa zake hakukufanyi kuwa strong woman. Wapo wenzio wameshafanya hivyo mara nyingi ,nao wangejiita ma strong woman in tanzania.
Just keep it personal, but naona hiko ulichokifanya ni kitu cha kawaida sana sana.
 
Nimemkataa mbaba wa central bank na bihela byake,
Ametuma 500,000 tigo pesa nikamrudishia,
Anapiga sipokei aliendelea usumbufu namsemea kwa mkewe,

Alafu mke wake mzuriii sijui anatafta nini kwangu

Tgo, kwa mke huwa hapati.
 
Hahahaah huo ndio ustrong
Hahahhahhaha... sasa katumiwa kwa mpesa kashindwa kula si ujinga!! Angekula Afu angetafuta jinsi ya kutoliwa ningemuona strong!!!

Mie kurudisha hela ni udhaifu uliotukuka tena hela ya Mpesa!!
 
Hahahaah kweli kabisa ni udhaifu..
 
Nimemkataa mbaba wa central bank na bihela byake,
Ametuma 500,000 tigo pesa nikamrudishia,
Anapiga sipokei aliendelea usumbufu namsemea kwa mkewe,

Alafu mke wake mzuriii sijui anatafta nini kwangu
mwenewacu you are back again...sijakuona muda. ..umefanya jambo la busara nyaminga. ..ila ungekaa nalo tuu moyoni
 
Back
Top Bottom