Rost tamu acha kuwaona watu hawana akili wewe ndo unazo

Rost tamu acha kuwaona watu hawana akili wewe ndo unazo

babajeska

Senior Member
Joined
Aug 22, 2016
Posts
158
Reaction score
196
Wewe jamaa kuhusishwa kwako na magenge ya waporaji raslimali hayajaanza leo wala jana,sio mr.slow slow tu ndo kayaibua hapana tangu ukiwa mjengoni Taifa linakuimba wewe tu.Nchi hii inamatajiri wengi mbona wao hawasemwi???au wewe hela zako ziko tofauti na za bakharesa ndo maana unaonewa wivu??bakhresa anauwekezaji wa matrilioni lakini mbona haimbwi hovyo kuwa ni mwizi,Mo ni bilionea mbona sio yeye anahusishwa!!? kifupi wako mabilionea kibao tu.

Ulishagombana hadi na mzee wa Ipp kakushutumu wewe mwizi.Kifupi mzee wewe ni MWIZI na unajijua hilo,mkeo anajua,nchi inajua na dunia inajua huna la kutupanga wala kutudanganya ila tumeamua kuchagua kukaa kimya haimaanishi ni ujinga.Ata kwenye familia mke anaweza kuwa msaliti halafu mwanaume akachagua kuwa kimya tu hadi majirani wanashangaa mbona jamaa hachukui hatua kumbe ni swala la muda tu.Ukimya sio ujinga ni majira ya kimaamuzi tu hayajafika.

Kwa hiyo kujiona wewe ndo unaakili sana kwakuwa tu kunakikundi kidogo tu cha wafanyamaamuzi umewashika masikio sio kweli.
MUDA UTAONGEA
 
Kwenye posheni ya kipofu mwiko kushika kiwiko chake, walibonga wahenga

Huyu kanyang'anya mkongojo wetu.! Mjaa laana na alaaniwe
 
Kwenye ulimwengu wake yeye huweza kupiga mahesabu makali ya kila plan ila kila kitu kina mwisho.Na mwisho wake utakuwa mbaya sana.RA wewe ni wa kufungia JF kisa makaa ya mawe?Kama ni uongo mbn umeumia sana hadi kufungia Jf?
 
Back
Top Bottom